The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kweli aisee muungano uvunjwe tu..haiwezekani mzanzibar awe raisi wa Jamhuri ila mtanganyika asiwe raisi wa Zanzibar.wazanzibar wenye akili wanasikitika matendo yanayofanywa na serikali.
Warioba alisema watanganyika wapewe serikali yao kabla hawajaidai na tunakoelekea watanganyika wameshaanza kudai serikali yao.
Halafu hakuna wazanzibara atuheshimu.
Haya yote yamo ndani ya katiba. kama hamtaki basi tuyaeleze kwenye katiba.Kweli aisee muungano uvunjwe tu..haiwezekani mzanzibar awe raisi wa Jamhuri ila mtanganyika asiwe raisi wa Zanzibar.
gentleman,Hello
Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa.
Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
Inasikitisha sana kwa kweli.Kweli aisee muungano uvunjwe tu..haiwezekani mzanzibar awe raisi wa Jamhuri ila mtanganyika asiwe raisi wa Zanzibar.
Utajikuta unashiriki katika lawama zisizokuwa na msingi..Huu upuuzi aliuleta Nyerere na CCM wanazidi kuubariki.
Imebidi nikupe 'like' pamoja na kwamba sikubaliani nawe kwenye ufafanuzi wa uliyoyaweka hapa kwa mtiririko unaoeleweka.Haya yote yamo ndani ya katiba. kama hamtaki basi tuyaeleze kwenye katiba.
Nyerer ndio aloanzisha.
Wazanzibari walipinga sana.
Karume mkubwa alipinga na akasema mengine mwisho kisiwa cha Chumbe na mungano kama koti likikubana livue.
Raisi wa pili Jumbe akata serikali tatu, akafukuzwa na kuweka kifungo chandani.
Raisi wa tatu ABdul wakil ali kaa kipindi kimoja tuu na kuondolewa.
Raisi wa Nne Ali Hassan mweinyi hakumaliza muda akawa raisi wa tanzania kuzima maneno maneno
Raisi wa Tano Kamandoo Salmin alikuja na hilohilo la saerikali tatut na akataka awe raisi wamilele. akabanwa
Chama cha CUF kilipi taka serikali tatu. Na kilishinda chaguzi zote lakini hakijapewa serikali.
ACT wazalendo zanzibar ajenda yake ni hiyo lakini pia haija pewa serikali na kushinda kote huko.
Huko bara hakuna alofunguwa kinywa kuhusu serikali isipokuwa Mtikila tuu.
Sasa leo mnasema nini.