CHADEMA wanafeli sana... Kinachotakiwa ni warudi kwenye mikakati ya kimtandao. Yaani kimya kimya!Wakuu,
Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano?
Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Kwani wewe umeielewa?Mkipogwa virungu pia mje hapa kupost kwa majonzi
USSR
Sasa hapo ndo umeongea kitu gani?Wanataka kukiua kibibi cha watu. Watamfanya asisafiri tena kwenda nchi za nje. Maandamano yaliyopita yalimfanya ateme bungo kwenda kula Humburger za New York.
Ndiyo. PoliccmDaah Mkuu๐๐๐, kwahiyo polisi kazi yao ni kuzuia maandamano ya CHADEMA?
Upuuzi mtupu siku ikifika hamtoki!