Pre GE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

Pre GE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • IMG-20240927-WA0010.jpg
    IMG-20240927-WA0010.jpg
    132.4 KB · Views: 2

Ulitakaje?
 
Noma sana, ila CHADEMA nao wanakwama, washaona njia wanayotumia haizai matunda kwanini wapo kama jiwe hawataki kubadilika, wakati zama zimebadilika?!
Usiwalaumu.

Hilo zoezi lililo pita usifikiri halikuzaa matunda. Hilo lililkuwa zoezi la kuwatia jambajamba hao viongozi; na wamejamba kwelikweli, na dunia nzima imeona ushahidi halisi.
Sasa ndiyo mikakati inayofuata, kama unayo iwazia wewe inakuja kumsukuma mlevi shimoni.
 
Kwa aibu aliyoipata mbowe kutoka kwa wanachama waliojaa uoga wa chadema hawezi kurudia kuitisha maandamano ndani ya hii miaka miwili
 
Noma sana, ila CHADEMA nao wanakwama, washaona njia wanayotumia haizai matunda kwanini wapo kama jiwe hawataki kubadilika, wakati zama zimebadilika?!
Inawezekana wanatumia akili zilezile zinazo feli, inatakiwa wajitafakali, wajadili mapungufu yaliyo pita, nguvu zao na mapungufu yao yakoje, (what is their strength and weakness), wapinzani wao ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje
 
Kifupi Chadema siasa hawawezi kama ni kutaka kujulikana Marehemu Mtikila alijulikana nchi nzima mijini na vijinini kama mwanasiasa nguli hajawahi itisha maandamano lakini alivuma mno sababu akijua siasa kuwa siasa ni hoja ambazo kila mtanzania atasema ndio bila kujali yuko chama gani

Mtikila hilo aliweza

Mwingine aliweza alikuwa DK Slaa akiwa kiongozi Chadema alikuwa mjenzi wa hoja za kukubalika na watanzania wote wawe CCM au nje ya mafisadi kwa takwimu za uhakika

Sasa hivi Chadema hakina agenda ya kuvuta watanzania bila kujali vyama wawaunge mkono

Hawana hoja za mass concerns

Siasa ni ku deal na mass concern sio some individuals concern ndio maana serikali inajenga mabarabara,miradi ya maji,mashule ,hospitali ,Vituo vya afya nk kutatua kero za masses ambazo ni mass concerns za watu wa rika zote na vyama vyote popote

Chadema bado sana kisiasa hoja zao nyingi sio mass concerns hapo ndipo CCM inapowashindia
Kweli?!
 
Inawezekana wanatumia akili zilezile zinazo feli, inatakiwa wajitafakali, wajadili mapungufu yaliyo pita, nguvu zao na mapungufu yao yakoje, (what is their strength and weakness), wapinzani wao ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje
Wewe pengine unataka kuona action ya Chadema lakini unapenda kusimama mbali na kunyoosha kidole. Chadema ikishindwa unawaponda ikishinda unajiunga nao.
 
Wewe pengine unataka kuona action ya Chadema lakini unapenda kusimama mbali na kunyoosha kidole. Chadema ikishindwa unawaponda ikishinda unajiunga nao.
Kwasasa wana strategies za kimuhemko najua wanamachungu ya watu kutwaliwa na kupotezwa inatakiwa waangalie "possible and working solutions " siyo matamko tu, hata mimi hili la watu kupotezwa ama kukatishwa uhai wao linanichukiza lisiwe la vyama vya siasa tu linatakiwa libebwe na jamii kwa uharaka.

Nimependa TLS wameamua kulibeba kama ni janga la kitaifa na wamepanga kukutana hivi karibuni nawapongeza kwa wazo hilo nasema utakuwa ni mwanzo mzuri japo wenye akili mgando wanalipinga inawezekana ni wanufaika wa watu kupotezwa ama kukatishwa kwa uhai wao
 
Back
Top Bottom