Pre GE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ulitakaje?
 
Noma sana, ila CHADEMA nao wanakwama, washaona njia wanayotumia haizai matunda kwanini wapo kama jiwe hawataki kubadilika, wakati zama zimebadilika?!
Usiwalaumu.

Hilo zoezi lililo pita usifikiri halikuzaa matunda. Hilo lililkuwa zoezi la kuwatia jambajamba hao viongozi; na wamejamba kwelikweli, na dunia nzima imeona ushahidi halisi.
Sasa ndiyo mikakati inayofuata, kama unayo iwazia wewe inakuja kumsukuma mlevi shimoni.
 
Kwa aibu aliyoipata mbowe kutoka kwa wanachama waliojaa uoga wa chadema hawezi kurudia kuitisha maandamano ndani ya hii miaka miwili
 
Noma sana, ila CHADEMA nao wanakwama, washaona njia wanayotumia haizai matunda kwanini wapo kama jiwe hawataki kubadilika, wakati zama zimebadilika?!
Inawezekana wanatumia akili zilezile zinazo feli, inatakiwa wajitafakali, wajadili mapungufu yaliyo pita, nguvu zao na mapungufu yao yakoje, (what is their strength and weakness), wapinzani wao ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje
 
Kweli?!
 
Wewe pengine unataka kuona action ya Chadema lakini unapenda kusimama mbali na kunyoosha kidole. Chadema ikishindwa unawaponda ikishinda unajiunga nao.
 
Wewe pengine unataka kuona action ya Chadema lakini unapenda kusimama mbali na kunyoosha kidole. Chadema ikishindwa unawaponda ikishinda unajiunga nao.
Kwasasa wana strategies za kimuhemko najua wanamachungu ya watu kutwaliwa na kupotezwa inatakiwa waangalie "possible and working solutions " siyo matamko tu, hata mimi hili la watu kupotezwa ama kukatishwa uhai wao linanichukiza lisiwe la vyama vya siasa tu linatakiwa libebwe na jamii kwa uharaka.

Nimependa TLS wameamua kulibeba kama ni janga la kitaifa na wamepanga kukutana hivi karibuni nawapongeza kwa wazo hilo nasema utakuwa ni mwanzo mzuri japo wenye akili mgando wanalipinga inawezekana ni wanufaika wa watu kupotezwa ama kukatishwa kwa uhai wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…