Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

1-thamani ya uhai ni kubwa sana haidhuru huyo aliye hai ni mhalifu kiasi gani, kwa hio upande wangu siwezi kufanya hivyo kwa yoyote.

2- hakuna hata mmoja binadamu ila umaskini ni adui yangu, siwezi kuusamehe.

3- nyeto! Sijui kwa nini kuna msuto wa nafsi kiasi hicho.

4- angalia mara nyingine, tena rudia, ukijiwa na machozi lia, kisha sali kwa imani yako kuomba Rehema za Mungu, msamaha na uponyaji wa mioyo iliyo jeruhika.
 
5.... nakupenda nataka uwe mshangazi wangu..... aaaah maisha mafupi bn..... watu wamekufa kama kumbikumbi.... tuinjoy hii pumz tulonayo....😊 πŸ˜ƒ... Besides za chugg/dsm ? Uko poA?
Haa haaa manaake hapo kwanza nicheke 🀣
Rudi kule chocho ukanishushie mistari kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…