Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Limeisha hilo πŸ˜… class lini?
 
Imeisha hiyo.. weekend πŸ˜‹πŸ˜‹
Penzi baiskeli, KAA BOMBA la MBELE
πŸ₯’ πŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦
First law itazingatiwa
"I will remain at rest, or move in a straight line at a constant speed, unless acted upon by an external force"

In this case emphasis iko kwenye external force.
 
First law itazingatiwa
"I will remain at rest, or move in a straight line at a constant speed, unless acted upon by an external force"
In this case emphasis iko kwenye external force.
Baada ya 1st law kuwa practised
Naomba 3rd law izingatiwe na the law of conservation of energy pia izingatiwe..

ili jambo liende sawa sawia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguu!
Mjep nisharudiana nae, hapa nataka awathibitishie waja wa JF kuwa tupo sanaa.

Mbna Tajiriiiiii!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilioa mmoja akaniacha ni hapo natamani uwe wangu wewe nakuomba fuata Yale maelekezo ,mwenzio nimekuwa kwenye kilindi Cha mawazo Sana toka ufanye vile alafu nishindwe kujua nini kiliandikwa .
Nakupenda sana Binti wa zamani
Naogopa kukuanzishia uzi nieleze hisia zangu Nina watu tunaheshimiana hapa hawakawii kuhisi Nina changamoto labda ya kihisia ila ukweli ni kuwa ukiendelea kunikazia nitaandika tu uzi nieleze jamii juu ya hali yangu kimahaba kwako ijapokuwa nitakuwa nimeshusha brand yangu ila kwa ajili yako bora na iwe hivyo .

Wako daktari anayeshika bunduki
MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…