matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa.
'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho
Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi.
Kilichonishtua
Mwanamama mmoja jasiri anasema mmewe aliugua ghafla. Akaanza kuomba kisha akapitia na kausingizi mwororo. Akatokea malaika akampa upanga mkubwa sana. Kisha akachukuliwa hadi pori flank akakuta watu wengi/wachawi.
Akaanza kuwacharanga na kuwalamba mapanga. Anasema aliifanya mauaji makubwa ya kutosha. Walozi walikula panga za hatari. Alipomaliza hiyo project alizindukaakakuta mmewe amepona.
Alisisitiza watu wa dini wajiombee sana wasisubiri kuombewa. Na yeye ni Mlokole mpya.
Sasa jioni hii nimengalia mbwembwe za kondoo wa mfalme wakike zumaridi walivyowafanyia uzombi askari wetu.
Nikajiuliza kwa sababu wachawi ni watu, na wanafamilia,wengine Wenda ni viongozi, sasa mtu kucharanga mapanga hawa mabingwa kiroho kisheria inakaaje hii.
Mfano wanatoka mtaa mmoja asubuhi tukute watu mia wamechinjwa na MTU anajisifia kwenye media hii imekaaje.