Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Nawatakia sikukuu njema Jf

Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke.

Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho siku utakuta unafanya vitu vya ovyo so nikaamua nikatafute mchepuko kidogo na kiukweli nimeweza kumpata mwanadada fulani hivi shombeshombe mzuri.

Lakini shakushangaza huyu manzi vizinga vyake atakuomba 100, 200 especially tukikutana na nikiwa mbali nae ataniomba 500 au kazidi Sana ni buku ni mimi tu au kuna wengine wamekutana na aina hii ya mademu?

Na ni demu mkali ile mbaya, msafi kimwili Unaweza kuingia chumvini nae bila wasiwasi kabisa na smart kimavazi mwanamke kama huyu inakuaje anaomba 100, 200 wataalamu tusaidiane please kuna wakati nawaza binafsi kama vile hana shida na pesa sema tu ananiomba hivyo kama chachu yakuongeza mapenzi
 
Sasa umeombwa 100 unakuja kuanzisha uzi, je akikuomba million itakuwaje?

Anakukumbusha wajibu wa wewe kumpa pesa hiyo 100 anakuzibuwa masikio tu maana vijana wa sasa mmekosa jando na unyago.
 
Sasa umeombwa 100 unakuja kuanzisha uzi, je akikuomba million itakuwaje?

Anakukumbusha wajibu wa wewe kumpa pesa hiyo 100 anakuzibuwa masikio tu maana vijana wa sasa mmekosa jando na unyago.
Sio kwamba sijui wajibu wangu unakuta kabisa ananiomba 200 kwa kumaanisha kabisa na yupo serious kabisa binafsi nawaza inaweza ikawa hana shida na pesa sema tu anafanya hivyo kama sehemu ya mapenzi
 
Ila usilaumu sana mkulungwa unajua wanadamu hatuna jema kabisa angekupiga limzinga la laki moja naona malalamiko yangekuwa dar mpk chalinze iyo hali ya kawaida tu wala usipaniki
 
Sio kwamba sijui wajibu wangu unakuta kabisa ananiomba 200 kwa kumaanisha kabisa na yupo serious kabisa binafsi nawaza inaweza ikawa hana shida na pesa sema tu anafanya hivyo kama sehemu ya mapenzi
Wewe unaweza kumjuwa mwanamke akiwa serious? hao ni good actors.

Engage akili yako kwenye mambo mengine, usitegemee kumuelewa kiumbe ambaye yeye mwenyewe hajielewi.
 
Mkuu huyo hajui mapenzi,mwanamke yeyote kama unavua nguo kwa nguvu usitegemee kuombwa hela,

Ogopa mwanamke anaeisimimisha hata kama haitaki kusimama hao ndo ma gold digger

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anakua na namba za watu kama 200 hvi wote anawatumia sms kuomba iyo hela ndogo coz pia anajua mwanaume hawezi kumtumia 200 mara nyingi wanakuaga wanacheza michezo ya kila wiki hao...

ni wadangaji tu
 
anakua na namba za watu kama 200 hvi wote anawatumia sms kuomba iyo hela ndogo coz pia anajua mwanaume hawezi kumtumia 200 mara nyingi wanakuaga wanacheza michezo ya kila wiki hao...

ni wadangaji tu
Wala sio mdangaji ni muajiriwa kabisa wa Serikalini ndio kazi anayofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…