Nawatakia sikukuu njema Jf
Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke.
Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho siku utakuta unafanya vitu vya ovyo so nikaamua nikatafute mchepuko kidogo na kiukweli nimeweza kumpata mwanadada fulani hivi shombeshombe mzuri.
Lakini shakushangaza huyu manzi vizinga vyake atakuomba 100, 200 especially tukikutana na nikiwa mbali nae ataniomba 500 au kazidi Sana ni buku ni mimi tu au kuna wengine wamekutana na aina hii ya mademu?
Na ni demu mkali ile mbaya, msafi kimwili Unaweza kuingia chumvini nae bila wasiwasi kabisa na smart kimavazi mwanamke kama huyu inakuaje anaomba 100, 200 wataalamu tusaidiane please kuna wakati nawaza binafsi kama vile hana shida na pesa sema tu ananiomba hivyo kama chachu yakuongeza mapenzi