Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo no jini shituka.Nawatakia sikukuu njema Jf
Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke.
Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho siku utakuta unafanya vitu vya ovyo so nikaamua nikatafute mchepuko kidogo na kiukweli nimeweza kumpata mwanadada fulani hivi shombeshombe mzuri.
Lakini shakushangaza huyu manzi vizinga vyake atakuomba 100, 200 especially tukikutana na nikiwa mbali nae ataniomba 500 au kazidi Sana ni buku ni mimi tu au kuna wengine wamekutana na aina hii ya mademu?
Na ni demu mkali ile mbaya, msafi kimwili Unaweza kuingia chumvini nae bila wasiwasi kabisa na smart kimavazi mwanamke kama huyu inakuaje anaomba 100, 200 wataalamu tusaidiane please kuna wakati nawaza binafsi kama vile hana shida na pesa sema tu ananiomba hivyo kama chachu yakuongeza mapenzi
Rafiki unadhan wadangaji wote ni hawana kazi??? Unafeli pakubwa.Huyo manzi ni muajiriwa wa Serikalini sio mdangaji kabisa
Hoja yangu wala sio hiyo ulizungumza nimeuliza tu hicho kwasababu sijawahi kukutana nacho kwa mwanamke kuniomba 100 au 200 ni sawa na wewe ukutane na mwanaume ambaye unaishi naye muda mrefu hata siku moja asikuombe papushi hata unapoonesha wewe unahitaji mkunyenge yeye haoneshi ushirikiano lazima utashangaa au ujiulize maswaliNyie viumbe ni shida sana kuwaelewa, tukiomba hela malalamiko, tusipoomba basi kuna anaegharamia, tukiomba kidogo malalamiko tukiomba nyingi ndio balaa. Kazi ipo.
Hana majukumu huyo.Ni mtumishi wa umma na anakaa nyumbani kwao
Ndio aniombe 100 au 200?Hana majukumu huyo.
Pesa anayo sana ila anaisave na nahisi ana malengo yake binafsi so anaitunza na kaubahili fulani anako.
Huyo akianza kuishi kwake mtaachana mapema sana
Sasa majibu unayo sie unatuuliza ili tukwambie nini?Sio kwamba sijui wajibu wangu unakuta kabisa ananiomba 200 kwa kumaanisha kabisa na yupo serious kabisa binafsi nawaza inaweza ikawa hana shida na pesa sema tu anafanya hivyo kama sehemu ya mapenzi
Ulitaka akuombe shilingi ngapi?Ndio aniombe 100 au 200?
Anakutengeneza, kama unataka makubwa subiri yanakuja mkuu wala usijari.Ndio aniombe 100 au 200?
Kwa kweliAnajitoa ufahama huyu kaombwa 100k anasema 100. Hakuna dem wa kuomba 100 & 200 hata mtoto wa lakwanza haimtoshi jamaa ameshindwa kujiongeza.