Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

Yaani hapo kwenye hiyo anayo kuomba anagopa kuongeza sifuri mbili
 
Ogopa sana mtu akikuomba hela ya coin hata wale wa barabarani c vzur kumpa mtu hela ya coin.... ndugu siku ukijakuachana nae anaweza kujakukufanya kitu kibaya ambacho kitakumaliza kiuchumi
 
Mzee baba ni mtumishi wa umma ana miaka 29
Anataka apime uwezo wako wa kujiongeza na kama unazo helaa...!! siku akikuomba 100 mpe elfu 10 uonee kama atakataaa.. Huyo ana shidaa sema tu anashindwa kusema direct pia anaogopa atakupoteza itakuwa motooo unamuingia
 
Sawa ila hiyo ya kusema mwanaume ukikaa mwezi bila kufanya mapenzi unafanya mambo za ovyo sio kweli, hiyo iwe hulka yako tu na kujiendekeza, ila unaweza kaa mda wowote ule hata miaka na hamna tatizo,acha kuendekeza ngono man.
 
Ngono inakupeleke puta kijana, ukiendekeza ngono itakufilisi.

Kwani huyo manzi anaishi kwao au kwake?? Ana kazi au hana!?

Yawezekana hana majukumu mengi, subiri subiri baada ya miez kadhaa akuombe kodi utuletee uzi tena.
 
Brother hajaelewa yaani akisema naomba 100 sio hii ya coin maana yake anataka 100,000/= kama kweli ni hiii coin ya 100 au 200 basi sambaaaa fasta eneo hilo maana utapigwa na kimbora cha tunguli na kibwata la jogoooo
 
Ni mtumishi wa umma na anakaa nyumbani kwao
 
Brother hajaelewa yaani akisema naomba 100 sio hii ya coin maana yake anataka 100,000/= kama kweli ni hiii coin ya 100 au 200 basi sambaaaa fasta eneo hilo maana utapigwa na kimbora cha tunguli na kibwata la jogoooo
Ni coin mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…