Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

Huyo no jini shituka.
 
Nyie viumbe ni shida sana kuwaelewa, tukiomba hela malalamiko, tusipoomba basi kuna anaegharamia, tukiomba kidogo malalamiko tukiomba nyingi ndio balaa. Kazi ipo.
 
Nyie viumbe ni shida sana kuwaelewa, tukiomba hela malalamiko, tusipoomba basi kuna anaegharamia, tukiomba kidogo malalamiko tukiomba nyingi ndio balaa. Kazi ipo.
Hoja yangu wala sio hiyo ulizungumza nimeuliza tu hicho kwasababu sijawahi kukutana nacho kwa mwanamke kuniomba 100 au 200 ni sawa na wewe ukutane na mwanaume ambaye unaishi naye muda mrefu hata siku moja asikuombe papushi hata unapoonesha wewe unahitaji mkunyenge yeye haoneshi ushirikiano lazima utashangaa au ujiulize maswali
QueenDeby
 
Ni mtumishi wa umma na anakaa nyumbani kwao
Hana majukumu huyo.
Pesa anayo sana ila anaisave na nahisi ana malengo yake binafsi so anaitunza na kaubahili fulani anako.

Huyo akianza kuishi kwake mtaachana mapema sana
 
Sio kwamba sijui wajibu wangu unakuta kabisa ananiomba 200 kwa kumaanisha kabisa na yupo serious kabisa binafsi nawaza inaweza ikawa hana shida na pesa sema tu anafanya hivyo kama sehemu ya mapenzi
Sasa majibu unayo sie unatuuliza ili tukwambie nini?

Muulize yeye kama majibu unayopewa huridhiki nayo.
 
Jihadhari Huyo ni mshirikina hizo 100, na 200 zitatumika kufunga uchumi wako utachakaa mpaka ushangaeeee
 
From my experience,, ili ufunge ridhiki ya mtu ni lazima ipatikane hela ndogo kutoka kwenye mkono wa muhusika. Sana sana huwa zinatumika coin

Ukifungwa haimaanishi kwamba utakua hupati tena hela ila utapata zisizo na dhamani kwa mahitaji yako.

Back to me.. hiyo kitu imewah nitokea na solution yake niliacha kutoa hela mkononi hasa kwa watu wanaonizunguka kama siwaelewi..now ukihitaji hela kutoka kwangu ntakuomba namba ya sim zen nakutumia kwa mpesa full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…