Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako añavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko.
Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na hutokea pia mume wako anapovunja amri ya sita.
Wakaka nanyi niwape ishara mjue wake zenu kuwa wanavunjwa amri ya sita?
100% true.
 

Nimeona hii meme jumatatu
Ajabu jumatatu hiyo hiyo usiku chuchu zikaniuma,na huwa sio kawaida kuuma....sijui ni kweli nimesalitiwa 😓
 
Tupe tukaue
 
Hahaha utawapa tafsiri mbaya sasa
 
Sasa kama mtoto kaamka na mama yuko mbali,na baba wamtoto naye yuko mbali zaidi (elewa neno mbali zaidi. )Ata tofautishaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…