Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

Mimi nakupa hii hutaki acha, ukiona roho za umauti zinakufatilia sana na unahisi harufu ya damu.

Jua mpenzi wako amekuacha na amebeba mimba ya mwanaume mwingine kwa siri
 
Daaah mume wangu huwa ananicheat sana siku mbili kabla sijaingia period [emoji17][emoji17]. Atanitambua leo.
Hizo ni sababu za kibailojia maandalizi ya mwili tu haina ukweli wowote na mume .. Hizi story huwezi zikuta ulaya utazkutaa tanzania tu
 
Nimeona hii meme jumatatu
Ajabu jumatatu hiyo hiyo usiku chuchu zikaniuma,na huwa sio kawaida kuuma....sijui ni kweli nimesalitiwa 😓
Hizi conspiracy theories hazina uharisia wowote. Unaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako. Yani anyandue yeye uumie wewe...?
 
Back
Top Bottom