love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Ni tajibu tu kama utaleta ushahidi wa uliyosema..Wala siishi nchi lenu la vumbi na hao unaowataja unawajua mwenyewe na uzao wako.
Jibu hoja kwani ukweli hata kama ni ukweli mchungu inabidi usemwe tu, kama unadhani kila mchangiaji anachangia kwa mrengo wa kisiasa ina maana uwezo wako kiakili ni mdogo na haustahili kujadili hoja zinazohitaji tafakuri.
Mpuuzi ni wewe unalolisikitikia jambazi katili kila kukicha.Wewe ni mpuuzi
Huishi kwenye nchi ya vumbi na unalalama nini sasa.Wala siishi nchi lenu la vumbi na hao unaowataja unawajua mwenyewe na uzao wako.
Jibu hoja kwani ukweli hata kama ni ukweli mchungu inabidi usemwe tu, kama unadhani kila mchangiaji anachangia kwa mrengo wa kisiasa ina maana uwezo wako kiakili ni mdogo na haustahili kujadili hoja zinazohitaji tafakuri.
We makalio kaa kimyaMpuuzi ni wewe unalolisikitikia jambazi katili kila kukicha.
Sawa mfuasi wa beduiWe makalio kaa kimya
Suluhu ni uwepo wa Katiba MpyaKwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Serikali ya Muungano itanunua meli sita kubwa za kuvua samaki bahar ya Hindi 3 bara na 3 Zanzibar.Hela za sherehe za Muungano 2021 ziligawanywa nusu kwa nusu bara na Visiwani.Wazanzibari saiz ni Ma-RC,Madc, Maded huku Tanganyika.Mtakoma hakujua makamu wa rais anaweza kuwa rais!Mungu kawaonesha.Ipo siku spika naye atakuwa rais endeleen kuchagua wasioelewekaKwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Nia siyo Kigoma/Mwanza.Nia ni Congo/Rwanda.Nyinyi mnajidanganya sana kigoma kuna mzigo gani wa maana kule? Ni siasa uchwara tu!
Umesoma hata nilichoandika?Nimesema kuwa economic viability ilisema kuwa SGR iende Kigoma.Kupeleka Sgr Mza kabla ya Kigoma ni kupendelea Chato? Hayati alikuwa mbunge kwa miaka 20 alifanya makosa kuleta maendealeo Chato? Chato ipo kama wilaya zingine tu.
Hiyo ni akili au matope? Uache kuhudumia wananchi wa Mwanza,Shinyanga uanze kuwaza habari za Congo na RwandaNia siyo Kigoma/Mwanza.Nia ni Congo/Rwanda.
Kwani Mwanza? Hujui Sgr ikifika Mwanza inahudumia kanda ya ziwa Uganda?Umesoma hata nilichoandika?Nimesema kuwa economic viability ilisema kuwa SGR iende Kigoma.
Siasa za akina Zitto kabwe! Kigoma yenyewe kama Mtaa wa Kigoma/mwanza! Yaani watu wanawaza ujinga sana! Uiache mwanza ambayo ni ya pili kwa ukubwa uhangaike na Congo mara kigoma! Kigoma hata umemetu ni shida!Hiyo ni akili au matope? Uache kuhudumia wananchi wa Mwanza,Shinyanga uanze kuwaza habari za Congo na Rwanda
Kama hujui kitu kaa kimya.SGR haiendi mwanza kwa sababu ya kuhudumia Mwanza wala haiendi Kigoma kwa sababu ya kuhudumia Kigoma.Tatizo unang'ang'ania kujibu kila comment wakati kichwani huna kitu.Hiyo ni akili au matope? Uache kuhudumia wananchi wa Mwanza,Shinyanga uanze kuwaza habari za Congo na Rwanda
Wewe acha kunitisha, kwa hiyo inaenda kihudumia wapi? Kuna nchi inajenga reli au barabara huku mpango wa kwanza ni nchi ya nje? Huna akili kabisa.Kama hujui kitu kaa kimya.SGR haiendi mwanza kwa sababu ya kuhudumia Mwanza wala haiendi Kigoma kwa sababu ya kuhudumia Kigoma.Tatizo unang'ang'ania kujibu kila comment wakati kichwani huna kitu.
Upendeleo unaodaiwa wa kupeleka bil 200 kwa watu mil 1.7? Kwa nini tozo zisiwahudumie taratibu bila kuwapa watanganyika jasho la kulipa mikopo. Tumia akili we jamaa, acha chuki.
Magufuli alishakufa. Jenga hoja kuhusu hali iliyopo. Kila kitu hadi upambane na Magufuli, serious?Hii tabia aliiasisisi Magufuli na utetezi ukawa ni kuwa kwani Chato sio Tanzania? Tulisema Magufuli anatengeneza precidence mbaya kwani hakuna rais atakayeacha kupendelea kwao. Sasa uhalisia unazidi kukaa peupe na madhara yake ni bayana. Wakati tunasema matumizi yake mabaya ya madaraka nyie watetezi wake mlikuwa mnasema tuna chuki naye.
Charity start at home, by jpmKwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Sasa unataka SGR ikahudumia Mwanza,Shinyanga,Kigoma,etc ambao hawana mizigo ya kutosha ya kurudisha gharama za mradi?!Wewe acha kunitisha, kwa hiyo inaenda kihudumia wapi? Kuna nchi inajenga reli au barabara huku mpango wa kwanza ni nchi ya nje? Huna akili kabisa.
Wewe acha kunitisha, kwa hiyo inaenda kihudumia wapi? Kuna nchi inajenga reli au barabara huku mpango wa kwanza ni nchi ya nje? Huna akili kabisa.