Hii ya Rais Samia kupendelea Zanzibar ina ukweli? Je, kila Rais akipendelea kwao tutafika?

Wala siishi nchi lenu la vumbi na hao unaowataja unawajua mwenyewe na uzao wako.
Jibu hoja kwani ukweli hata kama ni ukweli mchungu inabidi usemwe tu, kama unadhani kila mchangiaji anachangia kwa mrengo wa kisiasa ina maana uwezo wako kiakili ni mdogo na haustahili kujadili hoja zinazohitaji tafakuri.
Ni tajibu tu kama utaleta ushahidi wa uliyosema..
Vinginevyo kasome magazeti ya udaku maana ndio unachoweza.
 
Wala siishi nchi lenu la vumbi na hao unaowataja unawajua mwenyewe na uzao wako.
Jibu hoja kwani ukweli hata kama ni ukweli mchungu inabidi usemwe tu, kama unadhani kila mchangiaji anachangia kwa mrengo wa kisiasa ina maana uwezo wako kiakili ni mdogo na haustahili kujadili hoja zinazohitaji tafakuri.
Huishi kwenye nchi ya vumbi na unalalama nini sasa.
By the way kwenye hiyo vumbi ndio utalamba mchanga.
 
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Suluhu ni uwepo wa Katiba Mpya
 
Serikali ya Muungano itanunua meli sita kubwa za kuvua samaki bahar ya Hindi 3 bara na 3 Zanzibar.Hela za sherehe za Muungano 2021 ziligawanywa nusu kwa nusu bara na Visiwani.Wazanzibari saiz ni Ma-RC,Madc, Maded huku Tanganyika.Mtakoma hakujua makamu wa rais anaweza kuwa rais!Mungu kawaonesha.Ipo siku spika naye atakuwa rais endeleen kuchagua wasioeleweka
 
Kupeleka Sgr Mza kabla ya Kigoma ni kupendelea Chato? Hayati alikuwa mbunge kwa miaka 20 alifanya makosa kuleta maendealeo Chato? Chato ipo kama wilaya zingine tu.
Umesoma hata nilichoandika?Nimesema kuwa economic viability ilisema kuwa SGR iende Kigoma.
 
Hiyo ni akili au matope? Uache kuhudumia wananchi wa Mwanza,Shinyanga uanze kuwaza habari za Congo na Rwanda
Siasa za akina Zitto kabwe! Kigoma yenyewe kama Mtaa wa Kigoma/mwanza! Yaani watu wanawaza ujinga sana! Uiache mwanza ambayo ni ya pili kwa ukubwa uhangaike na Congo mara kigoma! Kigoma hata umemetu ni shida!
 
Hiyo ni akili au matope? Uache kuhudumia wananchi wa Mwanza,Shinyanga uanze kuwaza habari za Congo na Rwanda
Kama hujui kitu kaa kimya.SGR haiendi mwanza kwa sababu ya kuhudumia Mwanza wala haiendi Kigoma kwa sababu ya kuhudumia Kigoma.Tatizo unang'ang'ania kujibu kila comment wakati kichwani huna kitu.

SGR imelenga nchi za Afrika magharibi na kati ambazo ni land locked countries.Mwanza,Shinyanga na Kigoma hazina uwezo wa kuihudumia SGR.
 
Kama hujui kitu kaa kimya.SGR haiendi mwanza kwa sababu ya kuhudumia Mwanza wala haiendi Kigoma kwa sababu ya kuhudumia Kigoma.Tatizo unang'ang'ania kujibu kila comment wakati kichwani huna kitu.
Wewe acha kunitisha, kwa hiyo inaenda kihudumia wapi? Kuna nchi inajenga reli au barabara huku mpango wa kwanza ni nchi ya nje? Huna akili kabisa.
 
Upendeleo unaodaiwa wa kupeleka bil 200 kwa watu mil 1.7? Kwa nini tozo zisiwahudumie taratibu bila kuwapa watanganyika jasho la kulipa mikopo. Tumia akili we jamaa, acha chuki.

Tukitaka katiba mpya ili kuwe na serikali tatu ili haya mambo yakae vizuri, mnajua ni kwa ajili ya kuitoa CCM madarakani. Sasa hivi mnalialia kinafiki wakati makubaliano ya muungano yanataka hivyo.
 
Hii tabia aliiasisisi Magufuli na utetezi ukawa ni kuwa kwani Chato sio Tanzania? Tulisema Magufuli anatengeneza precidence mbaya kwani hakuna rais atakayeacha kupendelea kwao. Sasa uhalisia unazidi kukaa peupe na madhara yake ni bayana. Wakati tunasema matumizi yake mabaya ya madaraka nyie watetezi wake mlikuwa mnasema tuna chuki naye.
Magufuli alishakufa. Jenga hoja kuhusu hali iliyopo. Kila kitu hadi upambane na Magufuli, serious?
 
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.

Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.

Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.

Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Charity start at home, by jpm
 
Wewe acha kunitisha, kwa hiyo inaenda kihudumia wapi? Kuna nchi inajenga reli au barabara huku mpango wa kwanza ni nchi ya nje? Huna akili kabisa.
Sasa unataka SGR ikahudumia Mwanza,Shinyanga,Kigoma,etc ambao hawana mizigo ya kutosha ya kurudisha gharama za mradi?!

SGR imelenga nchi za Afrika magharibi na kati ambazo ni land locked countries.Mwanza,Shinyanga na Kigoma (Kanda ya ziwa)peke yake hazina uwezo wa kuihudumia SGR wala kurudisha gharama za mradi.
 
Wewe acha kunitisha, kwa hiyo inaenda kihudumia wapi? Kuna nchi inajenga reli au barabara huku mpango wa kwanza ni nchi ya nje? Huna akili kabisa.

Unaweza kilocal zaidi, yaani mawazo yako ni ya usukumani tu. Kwa post hii inaonyesha upeo wako ulivyo mdogo.
 
Back
Top Bottom