Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Una uhakika? Au unawaza kama kipofu kisa tu unajua kuna landlocked countries. Cement kwa sasa Mwanza unajua bei gani?Sasa unataka SGR ikahudumia Mwanza,Shinyanga,Kigoma,etc ambao hawana mizigo ya kutosha ya kurudisha gharama ya mradi?!
SGR imelenga nchi za Afrika magharibi na kati ambazo ni land locked countries.Mwanza,Shinyanga na Kigoma peke yake hazina uwezo wa kuihudumia SGR.
Magufuli alishakufa. Jenga hoja kuhusu hali iliyopo. Kila kitu hadi upambane na Magufuli, serious?
Kasome ile economic viability assessment.Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri kuwa SGR kusafirisha Cement itarudisha gharama za mradi?Una uhakika? Au unawaza kama kipofu kisa tu unajua kuna landlocked countries. Cement kwa sasa Mwanza unajua bei gani?
Wewe acha mikwara mbuzi. Yaani mimi kukuelimisha kuwa plan za nchi yoyote huwa ni kujihudumia kwanza alafu unaleta dharau?Unaweza kilocal zaidi, yaani mawazo yako ni ya usukumani tu. Kwa post hii inaonyesha upeo wako ulivyo mdogo.
Mwanakwendazake aljijenga Chattle Airport, CRDB, taa za Barabarani, National Park, akamwapisha Madilu kwenye ile ikulu ndogo ya barazani na kadhalika na kadhalika!Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?
Kwa nini isirudishe? Au unadhania hakuna malori yanayopeleka mizigo kanda ya ziwa?Kasome ile economic viability assessment.Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri kuwa SGR kusafirisha Cement itarudisha gharama za mradi?
Harafu huyo jamaa Congo wanajenga viwanda kama saizi wanaproject ya kujenga kiwanda cha Cement! Kwa hiyo asifikirie kama kondoo! Kanda ya ziwa ,Rwanda na Uganda ni potential sana kuliko huko Congo maana wakishajenga viwanda tu vya bidhaa nyingi mzigo unapungua lakini kwa upande wa Mwanza mizigo na abiria ni wengi sana!Kasome ile economic viability assessment.Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri kuwa SGR kusafirisha Cement itarudisha gharama za mradi?
What is your point young boyHarafu huyo jamaa Congo wanajenga viwanda kama saizi wanaproject ya kujenga kiwanda cha Cement! Kwa hiyo asifikirie kama kondoo! Kanda ya ziwa ,Rwanda na Uganda ni potential sana kuliko huko Congo maana wakishajenga viwanda tu vya bidhaa nyingi mzigo unapungua lakini kwa upande wa Mwanza mizigo na abiria ni wengi sana!
Kinachokwenda kutokea Tanz ni Mungu Saidia. Wenye macho ya kuona mbali wamenielewa.Magufuli alipokuwa anapendelea Chato ulikumbuka kukemea?
Tumewachoka sasa.Ndio maana mnaonekana hamna la maana. Utawala uliopo una mapungufu mengi mno ambapo mnaweza pambana kusaidia jamii. Kuendelea kupambana na mtu aliye kaburini ni upuuz.Naweka record sawa ni wapi tatizo lilianzia ili kutokurudia kosa huko mbeleni. Jitahidi kuvumilia hoja za kweli zinazokuumiza.
80 ni nyingi sana sema 40Tatizo siyo raisi bali ni jamii yetu low IQ sana, mfano Kiongozi asipoiba na kujenga kwao anachekwa na jamii, ni mara ngapi unasikia Kiongozi akichekwa na kudharauliwa kwa sababu hakuiba na hakujenga kwao ?
Mkapa alienda kustaafia Lushoto alisimangwa sana, kwa nini unafikiri?
Tatizo ni jamii yetu tuna low IQ, low intelligence sasa inakwenda kuakisi matendo yetu kila mahali.
Leo hii ukifiwa wanaokuja kwenye msiba hawaji kukupa pole bali wanakuja kula na kuangalia kama umejenga kwenu.
Wastani wa IQ Tanzania ni 80 vs Dunia 90.
Go figure!
Hoja ya idadi ya watu ni dhaifu sana kwenye muungano. Kwani nyerere na bunge la Tanganyika waliporidhia muungano na Zanzibar hawakujua kama zanzibar inatoka mara 400 Ndani ya tanganyika. Ni Hoja haina mashiko ya KISHERIA,KIUCHUM WALA KISIASA.Upendeleo unaodaiwa wa kupeleka bil 200 kwa watu mil 1.7? Kwa nini tozo zisiwahudumie taratibu bila kuwapa watanganyika jasho la kulipa mikopo. Tumia akili we jamaa, acha chuki.
Tumewachoka sasa.Ndio maana mnaonekana hamna la maana. Utawala uliopo una mapungufu mengi mno ambapo mnaweza pambana kusaidia jamii. Kuendelea kupambana na mtu aliye kaburini ni upuuz.
Ili kuweka uwiano sawa na kuonesha kukua katika Muungano wetu Rais wa Zanzibar awateue Watanganyika katika nafasi mbali mbali za kiuongozi huko Zanzibar.Serikali ya Muungano itanunua meli sita kubwa za kuvua samaki bahar ya Hindi 3 bara na 3 Zanzibar.Hela za sherehe za Muungano 2021 ziligawanywa nusu kwa nusu bara na Visiwani.Wazanzibari saiz ni Ma-RC,Madc, Maded huku Tanganyika.Mtakoma hakujua makamu wa rais anaweza kuwa rais!Mungu kawaonesha.Ipo siku spika naye atakuwa rais endeleen kuchagua wasioeleweka
Ivi TRA c ndiyo mamlaka ya kukusanya mapato? Ina maana TRA ina kusanya kodi kutoka Tanganyika mpaka Zanzibar kwa maana ya TANZANIA kama ni ivo hii mikopo wanao pewa watailipa kupitia makusanyo ya kodi labda kama kuna lingine wana janvi nijuzeniKwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee.
Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara huku watanzania bara wakionekana kubeba mzigo mkubwa wa kulipa madeni ya taifa.
Sasa kama kila rais akionekana kupembelea anapotoka, tutafika kama taifa?