Tatizo siyo raisi bali ni jamii yetu low IQ sana, mfano Kiongozi asipoiba na kujenga kwao anachekwa na jamii, ni mara ngapi unasikia Kiongozi akichekwa na kudharauliwa kwa sababu hakuiba na hakujenga kwao ?
Mkapa alienda kustaafia Lushoto alisimangwa sana, kwa nini unafikiri?
Tatizo ni jamii yetu tuna low IQ, low intelligence sasa inakwenda kuakisi matendo yetu kila mahali.
Leo hii ukifiwa wanaokuja kwenye msiba hawaji kukupa pole bali wanakuja kula na kuangalia kama umejenga kwenu.
Wastani wa IQ Tanzania ni 80 vs Dunia 90.
Go figure!