Hii ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga Ahmed Ally akamatwe, kadanganya umma

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.

Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
 
Ahmed Ally hana kosa hata kidogo,yeye anasema na kuwaambia mashabiki kitu alichoambiwa na viongozi wa Simba,ko hapo viongozi ndo tatizo namba 1 kwenye klabu yetu,ni wazito mno kwenye maamuzi🚮🚮🚮
 
Kosa la Ahmed Ally liko wapi hapo?
 
Simba tunampango nayo tuisajili. Ila hapo ahmed ally hana kosa coz yeye anatoa taarifa aliyopewa na uongozi wa simba.
 
Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.

Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
Michezo ya ccm hio
 
Ahmed Ally hana kosa hata kidogo,yeye anasema na kuwaambia mashabiki kitu alichoambiwa na viongozi wa Simba,ko hapo viongozi ndo tatizo namba 1 kwenye klabu yetu,ni wazito mno kwenye maamuzi🚮🚮🚮
Iko wazi kabisa, hana kosa kabisa,😂
 
Amekubali kuwa ngao ya kulinda madudu ya wenzake, very unprofessional kwa msemaji wa timu kubwa.
 
Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.

Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
Kwakweli swala la Mwalimu kusaini Yanga viongozi hawajatutendea haki kabisa wanamsimbazi.
 
Kama wewe ni shabiki wa Simba basi akili huna kama viongozi wako. Sasa hapo Ahmed ana kosa gani ikiwa mchezaji mpaka juzi alikuwa kambini?
 
Ahmed Ally hana kosa hata kidogo,yeye anasema na kuwaambia mashabiki kitu alichoambiwa na viongozi wa Simba,ko hapo viongozi ndo tatizo namba 1 kwenye klabu yetu,ni wazito mno kwenye maamuzi🚮🚮🚮
Alipaswa kuchanganya na zake. Angeona kwanza fomu za usajili wake na taarifa ya malipo kutoka kwa mlipaji.
 
Kama wewe ni shabiki wa Simba basi akili huna kama viongozi wako. Sasa hapo Ahmed ana kosa gani ikiwa mchezaji mpaka juzi alikuwa kambini?
Yaani mke akiwa getoni kwako ni mkeo tayari!!!
 
Masikini pengine kaakikishiwa yupo Sana Simba🤠

ile kazi ngumu wamuongezee mshahara yule mwamba👈
Sasa hivi yupo bize kutafuta nini asembe kwa mashabiki.
 
Daaa hatari sana. kelele zile wawaombe radhi Watanzania wenzetu
Ubaya ubwela nikama inatafuna pande ya Simba zaidi🫡
Anachofanya Ahmed Ally kinawezekana Simba tu na sio timu nyingine kama yanga.

Nimemsikia kiongozi wao Rweymam ametukana matusi makubwa kwenye TV ya kidini. Simba hawana viongozi.
 
Back
Top Bottom