kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #21
MaCCM na maviongozi wenu mmekuwa mkiwadanganya Watanzanzania kwa miongo kadhaa pamoja na kuwaibia lakini hamjawahi kushitakiwa,iweje kwa huyo kijana!!??Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.
Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
CCM ina nini tena hapa. CCM imetengeneza amani na utulivu uliowafanya wazazi wako wakuzae wewe bila kuwa na hofu wala woga wa mabomu huko nje. Unaoisema CCM lazima uiseme kwa adabu. Bila amani hii huenda wewe usingezaliwa.MaCCM na maviongozi wenu mmekuwa mkiwadanganya Watanzanzania kwa miongo kadhaa pamoja na kuwaibia lakini hamjawahi kushitakiwa,iweje kwa huyo kijana!!??
CCM mmefanya uongo uwe kitu cha kawaida, yaani sehemu ya maisha.
Amani hamna, ila utulivu uliopo umetengenezwa na Watanzania, CCM ndiye mhimili wa uovu na mateso yote tunayoyapata Watanzania.CCM ina nini tena hapa. CCM imetengeneza amani na utulivu uliowafanya wazazi wako wakuzae wewe bila kuwa na hofu wala woga wa mabomu huko nje. Unaoisema CCM lazima uiseme kwa adabu. Bila amani hii huenda wewe usingezaliwa.