Michezo ya ccm hioAhmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.
Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
Iko wazi kabisa, hana kosa kabisa,😂Ahmed Ally hana kosa hata kidogo,yeye anasema na kuwaambia mashabiki kitu alichoambiwa na viongozi wa Simba,ko hapo viongozi ndo tatizo namba 1 kwenye klabu yetu,ni wazito mno kwenye maamuzi🚮🚮🚮
Naunga mkono hoja. Akae rumanda kwa niaba ya Tundu Lisu.
Simba walichobaki nacho ni kusema, "show yetu ilikuwa nzuri kuliko ya yanga...". Nyambafu zao.Daaa hatari sana. kelele zile wawaombe radhi Watanzania wenzetu
Ubaya ubwela nikama inatafuna pande ya Simba zaidi🫡
Kwakweli swala la Mwalimu kusaini Yanga viongozi hawajatutendea haki kabisa wanamsimbazi.Ahmed Ally jiridhishe kabla ya kwenda hewani, una viongozi waongo, wanakuponza ili uonekane wewe ndiye uliyekuny pale Jangwani.
Nguvu uliyotumia siku ya Simba day kumtambulisha Selemani mwalimu mchezaji wa Simba tumia nguvu hiyohiyo kuuomba radhi umma, wanachama na mashabiki wa Simba.
Kosa la Ahmed Ally liko wapi hapo?
Alipaswa kuchanganya na zake. Angeona kwanza fomu za usajili wake na taarifa ya malipo kutoka kwa mlipaji.Ahmed Ally hana kosa hata kidogo,yeye anasema na kuwaambia mashabiki kitu alichoambiwa na viongozi wa Simba,ko hapo viongozi ndo tatizo namba 1 kwenye klabu yetu,ni wazito mno kwenye maamuzi🚮🚮🚮
Anachofanya Ahmed Ally kinawezekana Simba tu na sio timu nyingine kama yanga.Daaa hatari sana. kelele zile wawaombe radhi Watanzania wenzetu
Ubaya ubwela nikama inatafuna pande ya Simba zaidi🫡