Hii ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga Ahmed Ally akamatwe, kadanganya umma

Huyo Sele na Aende huko utopoloni, wala hakua na umuhimu huo kwenye club yetu.
 
MaCCM na maviongozi wenu mmekuwa mkiwadanganya Watanzanzania kwa miongo kadhaa pamoja na kuwaibia lakini hamjawahi kushitakiwa,iweje kwa huyo kijana!!??

CCM mmefanya uongo uwe kitu cha kawaida, yaani sehemu ya maisha.
 
CCM ina nini tena hapa. CCM imetengeneza amani na utulivu uliowafanya wazazi wako wakuzae wewe bila kuwa na hofu wala woga wa mabomu huko nje. Unaoisema CCM lazima uiseme kwa adabu. Bila amani hii huenda wewe usingezaliwa.
 
Amani hamna, ila utulivu uliopo umetengenezwa na Watanzania, CCM ndiye mhimili wa uovu na mateso yote tunayoyapata Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…