Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Wale huwezi kuridhika mkuu maana inategemea na aina ya wanawake uliokotana naoWakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu.
Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha kumpata mwanamke, lkn nikiisha mpiga mashine siku mbili tatu namkinai na sitaki tena kumsikia.
Hivi na wanaume wenzangu mko hivi?
Wale huwezi kuridhika mkuu maana inategemea na aina ya wanawake uliokotana naoWakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu.
Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha kumpata mwanamke, lkn nikiisha mpiga mashine siku mbili tatu namkinai na sitaki tena kumsikia.
Hivi na wanaume wenzangu mko hivi?
Mmmmmh 🙂↔️ 🙂↔️ 🙂↔️ aaaaahyaaaahCha ajabu sasa Kisichochosha ni nyeto na ma model war ma pornstar dah wako safi anytime
Huyo alikuwa drug addicted so akiacha MTU drug anarudi kuwa MTU na Afya yakeMtengeneze awe pisi kali, sio unamwaga alafu unamtelekeza lazima apoteze mvuto.
View attachment 3296004
Ni sahihi. Hili jambo lilinitesa sana zamani. Nashukuru Mungu sasa nipo huru na ninaishi na Mama Manka kwa miaka 20 sasa tukijaliwa watoto 4. Mungu amsaidie jamaa yetu.Hayo ni mapepo...
Yaani majini mahaba...
Nimepata kabinti, kachuo juzi kati hapo 21 of age sasa Ikabdi. Nimdanganye aje, kwangu, kumbe namleta gest house, dogo kafika
Akasema hajawahi, kulala geust yupo mara yupo siku danger😂nikakambia vua, nikuangalie ulivoumbika , kakasema zima taa, nikazima Yan kana full aibu mkuu, sasa angekua 25+nisingeenjoy, mtu anavua wala hakuogopi,
Sema ndo hvo kabinti nafikiria kukapiga chini nimuachie vijana wenzie
Kwahiyo jamaa kajikuta Hana mwili 🥱🥱🥱😃😃😃😃😃Mtengeneze awe pisi kali, sio unamwaga alafu unamtelekeza lazima apoteze mvuto.
View attachment 3296004
Kifaa cha namna hiii, utaweza kumkinai kweli?Kwahiyo jamaa kajikuta Hana mwili 🥱🥱🥱😃😃😃😃😃
Daah🙌🏿Kuna mwamba nimepiga nae story kaniambia kamuoa mwanamke ambae alishawahi kuishi na mwanaume wake kwa miaka 21.
Mimi bila hiyana nikaanza kufanya mahesabu yangu ya kijinga,
Kwa week tendo mara 4, kwa mwezi ni 4 Mara 4 unapata ni Mara 16.
Kwa mwaka ni 16 Mara miezi 12 unapata ni Mara 192.
Ukipiga Mara miaka 20 ni 20 Mara 192 unakuja kupata ni Mara 3840.
Hapo ni kima cha chini, hapo hujahesabia kabla huyo mwanamke hakuolewa alifikisa hadi tuseme Mara 500 ukijumlisha 3840+500 unapata alifanya Mara 4340.
Hapo hujahesabia zile mechi za michepuko ya hapa na pale sio chini ya Mara mia hivyo tujumlishe 4340+100 unapata 4440 ambapo sio mbali sana na Mara 5000.
Yani unakuja kuoa mtu ambae Ameliwa Mara elfu tano, vijana akili mnaziachaga wapi? Kwanini hamuhudhurii vikao?
Kuna mtu ana mashaka na hizo hesabu zangu hapo? Msisahau nimesoma PCM hivyo hamna kitu mtaniambia kwenye hesabu ndogo kama hizo.
Mwenyekiti me nimeondoka
Kumi halafu uwe na maendeleo niite mbwa nimekaaa pale 👉👉👉👉🫵Mke mmoja hatoshi wanatakiwa wawe hata 10
Kazi ni msingi wa maendeleo
Hilo litattoo ndo litanikata stimuKifaa cha namna hiii, utaweza kumkinai kweli?
View attachment 3296021
Good 👍 😊 👍Yap, Hao wanao kinaiwa ni ma slay queen.
Huwezi kuta Mwanaume anakinai Mwanamke ambae ni Wife Material
Aaahyaaah 🏃🏻➡️ 🏃🏻➡️ 🏃🏻➡️Mkuu nje ya mda kidogo tutajie sifa za wife material walao tano tu Then tuendelee na majadala kama hautojali lakini natanguliza samahan
Mambo mazuri ni hela tuHilo litattoo ndo litanikata stimu
Wahenga wanamsemo😝"ukubwa wa pua sio wingi wa samaki"Kifaa cha namna hiii, utaweza kumkinai kweli?
View attachment 3296021
Mkuu kama hizi picha unazo kwenye simu Yako bila shaka ni memba wa chaputa WEWE 🫵🫵Mambo mazuri ni hela tu
View attachment 3296037
Muonekano mzuri wa nje ya gari ndio kinachovutia, mambo ya ubora wa injini tutakagua baadaye.Wahenga wanamsemo😝"ukubwa wa pua sio wingi wa samaki"
Nikupe namba zakeMkuu kama hizi picha unazo kwenye simu Yako bila shaka ni memba wa chaputa WEWE 🫵🫵
Mbavu zangu😄Muonekano mzuri wa nje ya gari ndio kinachovutia, mambo ya ubora wa injini tutakagua baadaye.