Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

Muonekano mzuri wa nje ya gari ndio kinachovutia, mambo ya ubora wa injini tutakagua baadaye.
Naona Sasa unatakaπŸ˜‚kubishana na babu yako, mzee wasira kashasema

"Gari ni engine sio body" Ebu assume kile kiharufu cha samaki kinachotoka kwenye nyapi/exhaust ya pisikali
 
Naona Sasa unatakaπŸ˜‚kubishana na babu yako, mzee wasira kashasema

"Gari ni engine sio body" Ebu assume kile kiharufu cha samaki kinachotoka kwenye nyapi/exhaust ya pisikali
Adam, Daudi, Samson wote walifeli, mimi nimekuwa nani zaidi yao?
 
Alafu muda unao mkinai yeye ndo anakupenda kinoma hadi unatamani ukimbie mkoa
 
Ni mwendo wa ku-approximate tu mpaka elfu Tano ifike
 
Kukinai ni kawaida ila sio wote, nina list yangu ambayo siwezi kuikinai maisha buku yani tukikutana ni patashika
 
🀣🀣
 
Ugali kabeji haufanani na pilau nyama. Ukute washkaji wanakutana na ugali kabeji daily, lazma ukinai.
 
Sasa mkioa itakuwajeee?... imagine uishii na mtuu mpka kifo kiwatenganishee sio mchezooo mjueee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…