Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

Adam, Daudi, Samson wote walifeli, mimi nimekuwa nani zaidi yao?
Ndo maana tunaambiwa Tujifunze kutokana na makosa ya wengine chief,

Lait kama Mugabe asingemskiliza mke wake huenda angetoka madarakani kwa amani, ila Kitendo cha kumsikiliza na kutaka kumrithisha nchi kilileta fedheha kwake babu yetu
 
Huyo nje ila mentality yupo distracted, ukija upande wa K hapo inasoma km 200k.Demu anachora tattoo maeneo hayo hamna kitu, chapa tembea.
Anayelia wali kwenye sahani ya udongo ni tofauti na anayelia wali kwenye sahani ya plastiki.
 
Acha kuchezea pesa za urithi hizo ndugu yangu
 
Mkuu nje ya mda kidogo tutajie sifa za wife material walao tano tu Then tuendelee na majadala kama hautojali lakini natanguliza samahani

Sifa Za wife Material inaweza tegemea na Mume mwenyewe, Nitataja Za Kwangu.

1. Heshima/Nidhamu - Ajiheshimu, Aheshimu wengine na zaidi Aniheshimu mm kama mumewe.

2. Elimu - Awe na basic education, atleast Diploma, Itasaidia tusiwe tunapishana uelewa katika maongezi

3. Usafi na Uchapakazi.

4. Mwisho lkn sio kwa umuhimu, awe mrembo sio mtu hata kuongozana nae unashindwa πŸ˜€
 
Muonekano kwanza, hayo mengine huko chini ni kuvumiliana tu
Mhh muonekane uendae na udogo wa K,sio break P#mbu,hata muonekano hupoteza maana. Halafu mademu wenye muonekano wa kawaida K zinabana, yani mpaka zinato ule mlio wa speedo na bado zina harufu yake ya asili.

Halafu maplayboy wengi kwenye kuoa yaani hawatizamagi kabisa muonekano, ndio maana wanakujaga kuoa mademu ambao wa kawaida sana,kuliko zile pisi alizokuwa akizigonga.
 
Mkuu kyagata tuko wengi sana katika hili, mimi mwenyewe naweza Spend hata 200k lakini nikishapiga mshube mara moja tu sitaki tena, na nikikutana na Noxious smell ndo kabisaa hata sitaki kumuona duniani.
Kwahiyo afe?
 
Pisi kali zina gharama, inabidi tutafute wenye sura za baba ili uchumi utulie.
 
Pisi kali zina gharama, inabidi tutafute wenye sura za baba ili uchumi utulie.
Maplayboy wanatumiaga gharama gani? Ukiona unatumia hela sana kwa mademu hupendwi, kuna wahuni wanakula pisi kali, ila wakijaga kuoa wanao pisi za kawaida ,hivi unazani wajinga? Maplayboy wa kitaa asilimia tisini wamekuja kuoa mademu wakawaida mno.
 
mwanamke hata aliwe mara milioni kumi bado ni mtamu mno
 
Utaoaje ya kawaida, mpaka mzime taa ndio hisia zije!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…