Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da hii nchi hii kazi ipo. Kama wananchi wenyewe ndo kama hawa.Itapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Ongezea baragashia, koti juu ya kanzu na kobaz kabisa ndiyo itakuwa poaItapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Hayo ni ya kiarabu tayariItapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Mnatamani kuwa waarabu kwa nguvu. Si mngojee mfe kwanza mbadilike kuwa miarabu kama mlivyoahidiwa.Itapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Du bonge la wazo na inabidi TFF waanze kupitisha sheria kuwa jezi zitakazotumika kwenye ligi zote za soka Tanzania 🇹🇿 ziwe hayo magauni ya kiarabu maana kuvaa bukta ni kutembea uchiItapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Yeah but kuna kitu kinaitwa katiba ya nchi hapo katikati. Kasome kinaelezea nini kuhusu hayoItapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni
Hivi kwanini tusiwe na dini rasmi ya taifa? Itapendeza kama islam ikawa dini ya taifa 🤣🤣🤣Itapendeza kama Taifa tukawa na MAVAZI rasmi ya Kitaifa. Asanteni