Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.

Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.

Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,

Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
 
Aliyeleta dini Africa alituweza kweli kweli😀😀
 
"mbinguni" ndiyo wapi? Watu hatutafuti kwenda ?mbinguni", watu tunaamrishana mema na kukatazana maovu kwa kujihakikishia pepo.
 
Ndio umejua leo? Hata Vatcan ni sehemu ya biashara kama ilivyo Kariakoo
 
Una wivu na uhasidi mkali sana, kwa kuwa wewe hauna pa kwenda Hijja au kwa kuwa Waarabu wamekushinda ujanja wa kutafuta pesa?
 
هداك الله لا تعرف ما قلْتَ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…