Qa people
Member
- May 8, 2020
- 54
- 34
NakaziaKwanini hukumuuliza aliyekupa?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaKwanini hukumuuliza aliyekupa?.
Wanaloga tu hamna chochote.Ni kwanini hao watu hawarogi kwa kuandika kwa lugha ya Kiswahili unayoifahamu?
Ua hiyo ndio lugha ya Urozi?
Cc Mzizimkavu,
Wewe jibu kama unajuaKwanini hukumuuliza aliyekupa?.
Kwani wameandikaje?Ulienda kwa Washirikina.
tapeli lazima litumie technique ili uaminiNi kwanini hao watu hawarogi kwa kuandika kwa lugha ya Kiswahili unayoifahamu?
Ua hiyo ndio lugha ya Urozi?
Cc Mzizimkavu,
Hapo hio sio dua ya kukukinga wala kukusaidia, hiyo karata haitokufaisha chochote ni sawa na kulala na msahafu ndani ili wachawi wasikuroge msahafu haukukingi na chochote ispokuwa ukisoma yaliyomo ndani allah atakulinda sio kwa kukaa nao tu kama hiriz hausaidii.Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa nimepewa jini kijanja, maana napata hela, sijui zinapo ishia
Aya za Qu'ran na mengine yasioeleweka .Kwani wameandikaje?
Nielekeze ndugu yangu!Huo ni USHIRIKINA, choma moto mzee, tujitahidi kufanya ibada na maombi sisi wenyewe.
Laiti mngejua kuwa dua kupokelewa ina vipengele kadhaa lakini kimoja wapo ni USAFI wa muombaji, kwa dunia ya leo unaweza kwenda kwa sheikh kuomba dua kumbe sheikhe mwenyewe ni mchawi anaruka usiku, ni mshenzi anagonga mke wa mtu, kumbe ni anamla ndogo mtu, kumbe ni dhulumati, kadhulumu mali za yatima. Unategemea dua itapokelewa hiyo.
Tujitahidi kufanya ibada, tusome kidogo tujue dua zinapokelewaje..
Mfano funga sunna zako, jioni unapofuturu piga dua yako,
mola yupo karibu zaidi na mja wake pale anaposujudu,
Amka usiku fanya ibada, omba dua lako.
Chukua zawadi, chakula n.k(sadaka) tafuta watoto wa madrasa haswa wakiwa yatima itanoga, ambao hawajabalehe, ambao hawajaanza kufanya madhambi, dua zao huwa powerful.
Huko kwingine mnajiongezea dhambi tu. Ukishaweka akili kuwa hiki kikaratasi ndio kinanisaidia, hii pete ndio msaada tayari umekufuru tayari umefanya SHIRIKI
Nisaidie tafadhali kama yapi?Aya za Qu'ran na mengine yasioeleweka .
Kuweka kikaratasi hicho kutembea nacho kama hirizi hauoni kama ni njia ya shirki ? kwamba anaweka tu akiamini kuwa hiko kikaratasi ndio kinatatua shida zake.Nielekeze ndugu yangu!
Hapo nimesoma nimeona kaandika suratul Nasri (Idhajaa anasirullahi wal fat hu) akaandika mpaka akaishia kwenye fii dinillahi..
Baada ya hapo akaandika jina la Mungu. Yaani ya Allah! Kaliandika mara 11. Yaani Ya Allah! Ya Allah mpaka idadi ikafikia mara 11.
Baada ya hapo akamalizia sehemu ya aya "Afuwaja".
Baada ya hapo akachora jedwali! Upande mwengine kaandika herufi ya waw ya kiarabu. Kisha akachora symbol kama ya ua.
Huko kwengine kwa upande mwengine wa jedwali kaandika " Allahumma" mara 4.
Kisha kwa chini akaandika maneno yafuatayo "Mola wangu wewe ndiye mpaji na mimi ni mwombaji......" maneno ya kuomba.
Chini yake hapo akamswalia Mtume kisha akaweka na vialama vya nyota na alama alama nyengine.
Umeweka tahadhari kuwa ni ushirikina. Nisaidie kwa hapo ushirikina kinamna gani? Kwa maana na mimi nikiona kama hayo mahali pengine niweze kuwaelimisha watu.
Nafikiri hayo mambo kawaulize watu wenye elimu zao kwa sababu kila mahali kuna watu wao! Hatuwezi kuhukumu jambo ambalo hatuna uwelewa nalo kamili.Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa nimepewa jini kijanja, maana napata hela, sijui zinapo ishia
Mambo sio rahis hivo km mnavosumuliaWanaloga tu hamna chochote.
Ushawahi kusikia, kusoma albadir kwenye bibilia?
Hiyo karatasi akiitia kwenye maji hayo maneno yakiyeyuka ukimwagiwa hayo maji au ofisini, njiani,nyumbani cha moto utakiona.
Inategemea na mnyama na ubaya unaemtuhumu.
Ukitaka afe mtu itasomwa mara 30 unatoa sadaka madrasa utasomewa dua ikitoka hapo unaoga maji yamewekwa hiyo karatasi huku unanuia.
Kesho humkuti mgomvi wako popote.
Na ukiweka ndani hujatumia akikua huyo unae.
Elimu Dunia 🙌
Kaangalie kwenye Bukhari, Sunan Abu Dawud na Tirmidhi.Kuweka kikaratasi hicho kutembea nacho kama hirizi hauoni kama ni njia ya shirki ? kwamba anaweka tu akiamini kuwa hiko kikaratasi ndio kinatatua shida zake.
Na hiyvo vitu vingine kwenye vilivyoongezwa unajua maana yake na kwa nini vimewekwa hapo ?
Matapeli wanakwambia ni nypta za bahati.Nilikuwa Nina shida Fulani, itabidi nikamuone shekhe ndio anaweza kunisaidia, ila baada ya kunisomea Dua , akanipa hili karatasi kama niweke kwenye wallet
Naomba tasfiri yake wakuu, isije ikawa nimepewa jini kijanja, maana napata hela, sijui zinapo ishia