Pole sana. Tatizo lako ndio kama langu, mimi niliambiwa hiyo ni bawasiri. Nikaenda kununua dawa ya asili ya kunywa na kupaka kwa dada mmoja yupo insta anajiita @aasm_products anauza dawa za bawasiri. Nimeanza kutumia sasa ni week ya pili maendeleo naona mazuriHabari, Mimi nilikua nasumbuliwa Na constipation, Na kupata Choo kigumu Hadi nikachanika, Sasa kikawa Ni kidonda, Sasa kila nikijisaidia Choo kigumu panazidi kuchanika,...
Pole sana, hiyo profile ni yakoA.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada
.
Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo.....
Sikiliza mdogo wangu, Anual fiscure ni majimaji au utelezi unaotokana na michubuko ya kwenye mishipa baada ya kupitisha choo kugumu.Hata mimi mwanzo nilijua ni Bawasiri, kila ninaemwambia ananambia bawasiri, nikatumia dawa za kienyeji. Sasa juzi nikaamua kwenda hosp nikaambiwa anal fiscure
Kidonge gan mkuuHi inafanya mishipa ya eneo la mwisho ku Lelax na kuachia haikazi
Unakumywa kidonge kimoja tu
Ila lazima ule kwanza
Hii kwa bawasiri nzurPole sana mkuu, angalia jinsi unavyoendelea ukiona inakawia sana paka utomvu wa papai bichi, itauma kiasi lakini utapona fasta
You are not serious, are you ? , what does gender has to do with what he/she said ? I thought an anus is an anus , whether you are a guy or a girl…Pole sana mkuu. Pole sana.
Ngoja waje wajuvi wa mambo kwenye hili eneo.
By the way, wewe ni ME au KE? I am just curious..
Rabinsia ni hospital kubwa sidhani kama huyo Dr aliyemuona ameshindwa kutofautisha kati ya Hemorrhoids na Anal fissure, ushauri wa Dr aliyemuona uheshimiwe.Mkuu hiyo ni BAWASIRI.
Zipo za aina 3.
Bawasiri ya nje, kinatoka kama kijipu uchungu.
Bawasiri ya ndani- inatoka nyama ambayo huwa inajitokeza nje na kurudi unapoenda haya.
Bawasiri ya ndani- ila kunakua na mpasuko fulani wa mishipa,hii huepelekea kutokwa na damu haawa ukienda haja na ikiwa chronic basi hata bila kwenda haja.
Pole sana Mkuuu, I can imagine mawazo na mvurugiko wa fikra ulionao. Utapona ila pata daktari mzuri mwenye uzoefu. Pia zipo dawa za asili, jitahidi mapema kujitibu.
Hapa hamna dawaUkiona inakufaa fanya hivi,
Chukua ndizi iliyoanguka barabarani usinunue au nenda sokoni okota ndizi na uikaange kwenye sufuria mpaka iwe nyeusi tii kama Mkaa. Halafu isage na uchanganye na dawa moja ya macho huwa iko kwenye tube sio zile za maji! Changanya mchanganyiko wako uwe unapaka mara3 kwa siku.