Hiki kidude (Ferris wheel) Watanzania huwa wanakionea tu kwenye TV

Hawa kenya-nzi bwana sijui wana matatizo gani kichwani kuanzia rais wao,makamu wao wa rais(Ruto),mpaka kiingozi wao wa wapinzani wa kiluo(Raila Odinga)
 
Kumbe Dubai inakaa Dar aisee ckuwa najua before [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Angalia picha nilizopost. Unapinga tu ili upinge.
 
Angalia picha nilizopost. Unapinga tu ili upinge.
Tony mbn unakuwa km hujaenda darasani, haya hebu angalia urefu wa hyo ferris wheel apo Dubai na hayo maghorofa kule mbele zen niambie ipi ndefu? Kuna jinc ulipaswa kuandika na co vilee, ati "ndefu kuliko ghorofa" ipi?

 
Tony mbn unakuwa km hujaenda darasani, haya hebu angalia urefu wa hyo ferris wheel apo Dubai na hayo maghorofa kule mbele zen niambie ipi ndefu? Kuna jinc ulipaswa kuandika na co vilee, ati "ndefu kuliko ghorofa" ipi?View attachment 1591002
Hio Ferris wheel ndio the biggest in the world. Hio Ferris wheel ni 210 metres. Ni ndefu kushinda jengo lolote hapa Afrika Mashariki. Usipinge tu kwa sababu unapenda kupinga. Tazama video fupi jinsi ilivyojengwa

 
Ni aibu kuleta utumbo kama huu ,hakuna vitu vya msingi unaona hicho kitu ndo maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…