Mzee co familia yako hata yangu mia cjui shidaa from morogoroKuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa!
Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi wala hakisikii dawa za hospital wa mitishamba!
Familia nzima ni mwendo wa Koh koh koh koh! Hata haieleweki ni hapa tu au kuna upepo mbaya?
Mwenye uelewa juu ya hili atuambie! Hospital kila tukienda vipimo vyote wanasema ni mafua tu yakawaida!
Ni hatari sanaKuna kitu kinaendelea dunia trust me... The new world order inatekelezwa kikamilifu kabisa...
Kuna uwezekano mkubwa kuna mambo yanafanyika makusid dunian kwasasa kwaajili ya sababu fulan fulan.. sio bahat mbaya kwa dunia nzima watu wakawa na global infections znazofanana.. si bajat mbaya... Kuna jambo kubwa sana liko njian laja
Tupambane tu
AiseeSisi huku kwetu tumetumia amoclacu syrup, cefixime syrup, brozen syrup, tidilor, coldril, ventolin inhaler, salbutamol, humo katikati brufen syrup, paracetamol syrup ... kwa nyakati tofauti ndani ya week 3 .. Mtoto homa ipo juu.. kikohozi kikali..
Halafu basic investigations hazionyeshi abnormal findings
Hatari
Hata kama ndo kwa mpigo hivo? Wakubwa hadi watoto?Poleni mno ila ni vema kwenda kupima ili ugonjwa au sababu ya kikohozi ijulikane masuala ya upepo etc etc tujiepushe nayo, kupima ndio njia sahihi, inaweza kuwa ni covid 19,tb, hiv, flu...
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa!
Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi wala hakisikii dawa za hospital wa mitishamba!
Familia nzima ni mwendo wa Koh koh koh koh! Hata haieleweki ni hapa tu au kuna upepo mbaya?
Mwenye uelewa juu ya hili atuambie! Hospital kila tukienda vipimo vyote wanasema ni mafua tu yakawaida!
Sisi huku kwetu tumetumia amoclacu syrup, cefixime syrup, brozen syrup, tidilor, coldril, ventolin inhaler, salbutamol, humo katikati brufen syrup, paracetamol syrup ... kwa nyakati tofauti ndani ya week 3 .. Mtoto homa ipo juu.. kikohozi kikali..
Halafu basic investigations hazionyeshi abnormal findings
Hatari
Aisee i thank God! Japo ilibidi turudi tukapate admission kwa siku 4.. Sal nebulizer + IV antibiotics.. Kikohozi hakijaisha kabisa ila kwa jinsi alivyokuwa naweza sema amepona.Na mie mwanangu ndiyo yupo kwenye hiyo peak, siku ya tatu sasa hatulali hatuchezi!!
Hatari sana. Wako anaendeleaje kwa sasa??