Hiki kikohozi kisichoeleweka kimeikumba familia yangu tu, Au ni UPEPO?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa!

Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi wala hakisikii dawa za hospital wa mitishamba!

Familia nzima ni mwendo wa Koh koh koh koh! Hata haieleweki ni hapa tu au kuna upepo mbaya?

Mwenye uelewa juu ya hili atuambie! Hospital kila tukienda vipimo vyote wanasema ni mafua tu yakawaida!
 
Poleni nadhani ni hali ya hewa. Wengi wana hali hio huku nilipo
 
Mkuu hicho kikohozi na hata familia yangu imekutana na na hiyo hali, bila kusahau mimi mwenyewe hadi muda huu bado nakohoa. Pamoja na kutumia dawa lakini dozi ikaisha lakini kikohozi bado kipo.
 
Kuna kitu kinaendelea dunia trust me... The new world order inatekelezwa kikamilifu kabisa...

Kuna uwezekano mkubwa kuna mambo yanafanyika makusid dunian kwasasa kwaajili ya sababu fulan fulan.. sio bahat mbaya kwa dunia nzima watu wakawa na global infections znazofanana.. si bajat mbaya... Kuna jambo kubwa sana liko njian laja

Tupambane tu
 
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa!

Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi wala hakisikii dawa za hospital wa mitishamba!

Familia nzima ni mwendo wa Koh koh koh koh! Hata haieleweki ni hapa tu au kuna upepo mbaya?

Mwenye uelewa juu ya hili atuambie! Hospital kila tukienda vipimo vyote wanasema ni mafua tu yakawaida!
Mzee co familia yako hata yangu mia cjui shidaa from morogoro
 
Kuna kitu kinaendelea dunia trust me... The new world order inatekelezwa kikamilifu kabisa...

Kuna uwezekano mkubwa kuna mambo yanafanyika makusid dunian kwasasa kwaajili ya sababu fulan fulan.. sio bahat mbaya kwa dunia nzima watu wakawa na global infections znazofanana.. si bajat mbaya... Kuna jambo kubwa sana liko njian laja

Tupambane tu
Ni hatari sana
 
Tupo wengi kwa kweli kimenitesa sana japo nimepona
 
Sisi huku kwetu tumetumia amoclacu syrup, cefixime syrup, brozen syrup, tidilor, coldril, ventolin inhaler, salbutamol, humo katikati brufen syrup, paracetamol syrup ... kwa nyakati tofauti ndani ya week 3 .. Mtoto homa ipo juu.. kikohozi kikali..

Halafu basic investigations hazionyeshi abnormal findings

Hatari
 
Poleni mno ila ni vema kwenda kupima ili ugonjwa au sababu ya kikohozi ijulikane masuala ya upepo etc etc tujiepushe nayo, kupima ndio njia sahihi, inaweza kuwa ni covid 19,tb, hiv, flu...
 
Aisee
 
Hata kama ndo kwa mpigo hivo? Wakubwa hadi watoto?
 
Kuna upepo wa Mafua na kikohozi unasumbua sana kuanzia January, February na sasa March! Familia nzima wanakohoa, kuanzia watoto wadogo, wanafunzi na hata wakubwa!

Mara nyingi navyojua kikohozi huwa ni cha mda mfupi kinapoa baada ya dawa! Lakini hiki cha awamu hii kinapungua tu lakini hakiishi wala hakisikii dawa za hospital wa mitishamba!

Familia nzima ni mwendo wa Koh koh koh koh! Hata haieleweki ni hapa tu au kuna upepo mbaya?

Mwenye uelewa juu ya hili atuambie! Hospital kila tukienda vipimo vyote wanasema ni mafua tu yakawaida!

Mie kinanitesea mtoto siku tatu hatulali! Anakohoa non stop mpaka anatapika!
 
Sisi huku kwetu tumetumia amoclacu syrup, cefixime syrup, brozen syrup, tidilor, coldril, ventolin inhaler, salbutamol, humo katikati brufen syrup, paracetamol syrup ... kwa nyakati tofauti ndani ya week 3 .. Mtoto homa ipo juu.. kikohozi kikali..

Halafu basic investigations hazionyeshi abnormal findings

Hatari

Na mie mwanangu ndiyo yupo kwenye hiyo peak, siku ya tatu sasa hatulali hatuchezi!!

Hatari sana. Wako anaendeleaje kwa sasa??
 
Aisee i thank God! Japo ilibidi turudi tukapate admission kwa siku 4.. Sal nebulizer + IV antibiotics.. Kikohozi hakijaisha kabisa ila kwa jinsi alivyokuwa naweza sema amepona.
 
Wakuu habarini za asbh?wataalam tusaidien tutumie dawa gani?

Maana kipindi cha mwendazake ulipita upepo huu tukaambiwa tumeze azuma na kweli ilitibu vp sasa ivi hali n mbaya.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom