Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

Mimi ni mwanachama halali wa coastal union moja ya wadhamini wetu ni GSM pia tunachangia ubingwa wa yanga kila msimu point 6!
 
hivi umevimbiwa mapalage?
 
Wabongo bwana

ukiambiwa ulete ushahidi hauna

story za vijiweni

Yanga asingeshinda hii gemu usingeandika
 
Kelele kama hizi tunazitarajia sana mind you hii inaweza kwenda kwa miaka kama 7 hivi au 10 so jiandae mno!
 
Hii ndio shida ya mashabiki wa simba wapo bize kuifatilia yanga kuliko kudeal na timu yao.
 
Mbona hata simba anatupa point 6, kashakuwa team ya mwigulu kwani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…