mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Kwani lazima?....Hawakuwa na busara unakataaje kazi unayotumwa na Mkuu wa nchi.Inabidi wajitathmini ikiwezekana wawapishe viongozi wengine waongoze hiyo Taasisi yao maana wao imewashinda.
Tatizo la Watanzania tunaishi kwa mihemko, hatuna miongozo bali tunaishi ishi tu, uteuzi ni uteuzi tu unayo haki ya kuukubali au kuukataa. Inawezekena ulikuwa ni uteuzi wa kimagumashi wangeapishwa baada ya mwezi mmoja wanatenguliwa mwisho wa siku wanakosa pa kushika inabidi warudi kushika chaki.Hao Cwt lazima waandamane kwa sababu wameonesha dharau kubwa kwa mh Rais .Mama alipanga kusolve mgogoro wao unaotokana na kugombea fedha za walimu Kiutu uzima lakini wao wakakomaza mafuvu kugomea teuzi za Udc hiyo ni dharau kubwa kwa mama.Kwa ushauri Serikali isiishie hapo tu kwa kuliacha hili suala la kudharau mamlaka ya uteuzi lipite ila waende mbele zaidi kwa kukifuta hicho kikundi cha wasaka ngawila kwa migongo ya vyama vya wafanyakazi