miaka ile ya njaa familia mbalimbali zilikua zikijigawa kwenda kuhemea chakula maeneo mbalimbali. Njaa haina adabu aise.Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa hivi neno kuhemea ni kununua mahitaji ya nyumbani?
Pande za mbeya nilikutana na neno kujumua likiwa na maana sawa na kuhemeaHilo neno si la kizazi hiki, bali la kizazi kile. Ninakaribia miaka 40 na hilo neno nimekua nalisikia likiwa na maana ya kununua mahitaji ya nyumbani. Kizazi hiki wanasema 'shopping/kununua groceries'.
😆😆😆😆Wasukuma wakienda kuhemea nyanya ntole
kawaida mnoo kwetu kuhemea tunamaanisha kununua mahitaji ya nyumbani kitenzi chake ni mahemeziKuna rafiki yangu wa Bukoba na mimi ndio nilianza kulisikia kutoka kwake
Kakosea kutamka tu ila ni KUEMEA kwa maana ya kufanya manunuzi ya mahitaji ya nyumbani.Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa hivi neno kuhemea ni kununua mahitaji ya nyumbani?
Nadhani kanda zote mkuu, nimewasikia wazee wakilitaja neno hilo tangu nikiwa mdogo maeneo ya ukanda huu wa Pwani.Kuhemea neno la zamani linalotumika Kanda ya ziwa.
Kiswahili cha wasukuma na jirani zao.
Neno kujumua nilisikia mara ya kwanza kwenye wimbo wa Rayvanny, Chuma Ulete.Pande za mbeya nilikutana na neno kujumua likiwa na maana sawa na kuhemea
Kupumuliwa kisogoni hio ndio maana yake akikwambia anakuhemea basi jiongeze atakua amekuelewa huko nyuma kwakoyaani sikumuelewa hivi neno kuhemea ni kununua mahitaji ya nyumbani?