Hiki ndicho alichopost Zari baada ya Diamond Kukiri mtoto wa Hamisa ni wake!!

hili demu nalo pumbafu sana ...lakini hata hivyo used sana mitoto 5 nana atamtaka mwache akomae tu hapo hapo..uzee huoo linawaza birthday kama binti wa miaka 10..mxxxxx

Mfyuuu wewe mwenyewe kwendraa. Aliyekwambia kucelebrate Birthday ni ukiwa na miaka 10 ni nani? Kama wewe huwezi kucelebrate Birthday yake every year then keep quiet, let those that can do. Eti una muita used sana mitoto mitano, embu weka wewe picha yako hapa tukuone una fananaje wewe ambaye sio used. Kama huna hoja ya kuchangia ni bora ukae kimya sio kucomment chuki zisizo na kichwa wala miguu.
 
Hivi diamond ni darasa la saba? if yes I am not surprised by his foolishness and childish behaviours.
 

Sema wewe my dear. Nimeshangaa hakuna aliyemsema Diamond kwa kuto kutumia mpira huku akiwa ana walala wanawake wawili wakati mmoja.
Halafu watu wengi hawajui background ya Zari, wako hapa kumsema sijui alimuacha mume wake akaenda kwa Diamond blablabla. Zari na Ivan walishaachana miaka before aanzane na Diamond. Ivan alishadate akina Sharon sijui nani before aanzane na Skype relationship yake na Chaggabarbie. Sijui watu wakoje? Ivan was a wife beater, ndio maana Zari alishindwana nae. Before mumhukumu mtu embu mjiongeze kidogo.Duh
 
umaarufu ni mambo ya kupita tu... kina Tyson,michel Jackson, Madonna nk.. walivuma wee baadae kilichotokea kinajulikana
 
Zari atamfanyia kitu mbaya Diamond.
Ata cheat na mtu wa karibu na Diamond
 
Atamsamehe na hapo ndio ubuyu utakaponoga maana huwa anajiona yuko tofauti na wanawake wengine kashfa anazompa Wema, Hamisa. Ndio shida ya kujiona yuko matawi ya juu sasa watoto wake watashare kinachopatikana na huyo mtoto aliezaliwa na binti anaemuona ni takataka.
 
Diamond hana pesa za kumpa kitu tofauti zari maana zari ni tajiri kuliko diamond

Is it? Sizani kama it is to such much!Huyu atakuwa na maana yake tu na siyo bure! Kuwa na hela haimaanishi ukipata uwezekano wa kuziongeza uache! Rejea nadharia ya wealth maximization ! Ndo maana kina baresa pamoja na kuwa matajiri lakini haachi kuuza ice creams za bei poa Kama shs Mia mbili Mia tatu!
 

Watu wamekaa kumsema Zari wakti Zari wanayemsema yuko juu yao kwa kila kitu. Uadilifu, elimu, akili , urembo na hata kiwago cha maisha. Hawa wanaokaa kumsema Zari wakati maisha yako yamejaa ufuska, elimu zero, ufahamu holla, maisha yao tabu kila siku na hata wakikaa na Zari bado Zari anawapiga mbali sana ki urembo. Watu ambao wakifika umri wa Zari watakuw wanakimbia vioo!

Zari is a very decent lady, akili kubwa mara mia kuliko hata huyo Nasibu aliyembahatisha kumpata. Hao wanaomshauri na kumtukana wanatamani wangelikuwa wao ndiye yeye. Ni upumbavu. Eti alimwacha Ivan akakimbila kwa Mondi, wakati MONDI KAKUTANA NA ZARI, ZARI HAKUWA NA MTU!.

Wanashadadia ufuka na dharau za kijinga za Mondi as if aliyoyafanya ni sifa. Wewe unamke anayejiheshimu na kujitambua kama zari. Unakwenda kulala na mimalaya bila mpira, halafu kwa kukosa akili unakwenda kwenye media unasema ni huyo kahaba alikuanza!.?

Diamond si mwanaume yule. Actually Zari deserves someone better than him!. Hana akili. Anachezea shiling chooni. Saizi ya mondi ni hao makahaba.

WANAOMTUKANA NA KUMSEMA ZARI NI HAWANA LA ZAIDI. HUYU BINTI MIMI NITAMTETEA SANA KWA KUWA ANAONEWA. NA BAHATI MBAYA MISICHANA YA BONGO NA MIVULANA JUA KALI HAINA KAZI ZA KUFANYA ZAIDI YA KUPOTEZA MUDA MITANDAONI KUSHADADIA MAMBO KIPUMBAVU.!

ZARI IS BETTER THAN ALL WOMEN HERE, THOUSAND TIMES BETTER THAN MONDI AND SHE IS FAR FAR ABOVE ALL STUPID MEN WANAOINGILA SUALA NA KUANZA KUMWITA ATI BIBI HUKU MIOYONI IMEJAA WIVU NA HATA MIANAMIKE WALIYO NAYO HAIKO KWA KIWANGO NDIY SABABU KILA SIKU INARUKA RUKA.

WOTE HAWA UNAOWAONA HAPA WANAMTAMANI ZARI!
 
Zari ana personality yake. Hana upumbavu wa kiswahili kama haya maj idiots low class yanavyo reason na kutamani. Hawezi ku revenge at the expense of her humanity!. Kwanza siyo daraja la Diamond, no wonder hata upumbavu wa Diamond unamuumbua yeye na ujinga wake lakini si Zari.

Mtu anayefikiria kufanya umalaya au kutoa mwili wake ili kumkomoa mtu mwingie ni mburura mbumbumbu asiye na elimu wala akili. Siyo Zari.

Mondi kutembea peku na hicho kikahaba, imeonyesha ni namna gani yeye ni mtu wa chini ya kiwango kuliko watu wanavyodhani. Mondi ni fedheha na aibu. Si kwa kuwa amesema, lakini ni kwa vile ana akili za kipumbavu sana.

Zari atamfanyia kitu mbaya Diamond.
Ata cheat na mtu wa karibu na Diamond
 
Msije mkamfanya Mondi aogope kwenda kula ugali nyumbani kwake South. Tufanyeni ya kwetu! Ya Ngoswe mwachie Ngoswe!
 
Mbona yeye kazaa na wanaume wengine huyu bibi vipi
Wanaume wengine wangapi? Embu tumia akili basi. Amezaa na aliyekua mume wake kabla ya kukutana na D. Haya point yako ni nini? Na kama yeye ni bibi, embu weka picha yako hapa tuone wewe na Zari nani anafanana na bibi.
 
Tabia iliyomtoa kwa mumewe ndiyo hiyo hiyo imemfanya Diamnond kwenda kwa mtoto mzuri na akapata mtoto

Kwani hujui ni bibi huyo binti yake wa kwanza si analingana na aliyezaa na mond
 
Tabia iliyomtoa kwa mumewe ndiyo hiyo hiyo imemfanya Diamnond kwenda kwa mtoto mzuri na akapata mtoto

Kwani hujui ni bibi huyo binti yake wa kwanza si analingana na aliyezaa na mond
Watu kama ninyi sijui mnaishi kwa kula sumu yaani sijui kinyongo mnapata wapi!!! wakati angekuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya kupendwa ungeelewa kama ni bibi au mwanamke mwenye hadhi na ungeitangazia dunia utamu wa mwanamke [HASHTAG]#Zarina[/HASHTAG] [HASHTAG]#Hassan[/HASHTAG]. Acha wivu na acha wanaojua value yake na mazuri yake wafanye wanchostahili kufanya.
 
kumbe huyu dada ana akili akili eee. nilifikiri ni bongo fleva bongo fleva and no other brains. i'm somewhat impressed.

Hapo ndio utajua tofauti ya mswahili na asiye mswahili... Mbele ni mbele tu hata kama sio ulaya!!! Haya UG ni mbele, good enough ana exposure so hachanganyikiwi na vidudu mtu...
 
kumbe huyu dada ana akili akili eee. nilifikiri ni bongo fleva bongo fleva and no other brains. i'm somewhat impressed.

That makes the two of us![emoji848][emoji848]
Wanawake wote wangekua hivi na Yule mke wa Mzee wa The Don's Lounge, ndoa zingekua mbingu ya duniani!
 
Huyu Kijana Wa Tandale Kwa nini hatafuti dogodogo saizi yake,yeye anasubiri wengine wazalishe wazee kisha na yeye apachike.Huyo Hamisa naambiwa ana Mtoto darasa LA 6
Duh
Hiv yuko la 6? Mbona kadogo?
Kazaa na majizo wa EFM,akapigwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…