Sema wewe my dear. Nimeshangaa hakuna aliyemsema Diamond kwa kuto kutumia mpira huku akiwa ana walala wanawake wawili wakati mmoja.
Halafu watu wengi hawajui background ya Zari, wako hapa kumsema sijui alimuacha mume wake akaenda kwa Diamond blablabla. Zari na Ivan walishaachana miaka before aanzane na Diamond. Ivan alishadate akina Sharon sijui nani before aanzane na Skype relationship yake na Chaggabarbie. Sijui watu wakoje? Ivan was a wife beater, ndio maana Zari alishindwana nae. Before mumhukumu mtu embu mjiongeze kidogo.Duh
Watu wamekaa kumsema Zari wakti Zari wanayemsema yuko juu yao kwa kila kitu. Uadilifu, elimu, akili , urembo na hata kiwago cha maisha. Hawa wanaokaa kumsema Zari wakati maisha yako yamejaa ufuska, elimu zero, ufahamu holla, maisha yao tabu kila siku na hata wakikaa na Zari bado Zari anawapiga mbali sana ki urembo. Watu ambao wakifika umri wa Zari watakuw wanakimbia vioo!
Zari is a very decent lady, akili kubwa mara mia kuliko hata huyo Nasibu aliyembahatisha kumpata. Hao wanaomshauri na kumtukana wanatamani wangelikuwa wao ndiye yeye. Ni upumbavu. Eti alimwacha Ivan akakimbila kwa Mondi, wakati MONDI KAKUTANA NA ZARI, ZARI HAKUWA NA MTU!.
Wanashadadia ufuka na dharau za kijinga za Mondi as if aliyoyafanya ni sifa. Wewe unamke anayejiheshimu na kujitambua kama zari. Unakwenda kulala na mimalaya bila mpira, halafu kwa kukosa akili unakwenda kwenye media unasema ni huyo kahaba alikuanza!.?
Diamond si mwanaume yule. Actually Zari deserves someone better than him!. Hana akili. Anachezea shiling chooni. Saizi ya mondi ni hao makahaba.
WANAOMTUKANA NA KUMSEMA ZARI NI HAWANA LA ZAIDI. HUYU BINTI MIMI NITAMTETEA SANA KWA KUWA ANAONEWA. NA BAHATI MBAYA MISICHANA YA BONGO NA MIVULANA JUA KALI HAINA KAZI ZA KUFANYA ZAIDI YA KUPOTEZA MUDA MITANDAONI KUSHADADIA MAMBO KIPUMBAVU.!
ZARI IS BETTER THAN ALL WOMEN HERE, THOUSAND TIMES BETTER THAN MONDI AND SHE IS FAR FAR ABOVE ALL STUPID MEN WANAOINGILA SUALA NA KUANZA KUMWITA ATI BIBI HUKU MIOYONI IMEJAA WIVU NA HATA MIANAMIKE WALIYO NAYO HAIKO KWA KIWANGO NDIY SABABU KILA SIKU INARUKA RUKA.
WOTE HAWA UNAOWAONA HAPA WANAMTAMANI ZARI!