Kelele hujibiwa na kimyaLeo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa kilichotokea na kumkebehi Zari na kumtukana wengine wakizusha kalazwa kwa pressure , wale wapenda ubuyu tukawa tunasubr Zari atakuja na Majibu gani hiki ndicho alichopost Kwenye page yake ya Insta. View attachment 591138
Unaweza kuta hapew hata mia ππππHuyo hamisa kaona kapataaaa bwana. Anamuumiza mwenzake.
,"bwana mwenyewe cha wote "
Akichokwa yeye atamtafuta Gigi money [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wabadilishane viti kama kwenye mwendokasi
[emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana.Unaweza kuta hapew hata mia ππππ
Kati ya Hamisa na Zari mjanja Nani?? Kwa hiliHata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee