Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Leo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa kilichotokea na kumkebehi Zari na kumtukana wengine wakizusha kalazwa kwa pressure , wale wapenda ubuyu tukawa tunasubr Zari atakuja na Majibu gani hiki ndicho alichopost Kwenye page yake ya Insta.
IMG_20170918_222103_744.jpg
 
Leo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa kilichotokea na kumkebehi Zari na kumtukana wengine wakizusha kalazwa kwa pressure , wale wapenda ubuyu tukawa tunasubr Zari atakuja na Majibu gani hiki ndicho alichopost Kwenye page yake ya Insta. View attachment 591138
Kelele hujibiwa na kimya
 
Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
 
Kati ya Hamisa na Zari mjanja Nani?? Kwa hili
 
Back
Top Bottom