Hicho kikosi uwezo wake ndio huo wa Zanzibar!Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Hakuna kikosi cha kufunga goli 5 halali!
Uhuni mnaofanya ni kucheza kamari kwa niaba ya wachezaji wa timu pinzani ili wawafanikishie lenu na wa wachukue pesa zao