Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.

Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.

Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
 
Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?

Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
 
Dogo mi naelewa. Hasara inakuwa kwetu. Na tumeona kilichotukuta Caf CL. ni mambo haya haya ....
 
Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.

Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.

Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Wewe bwege kweli fainali ya shirikisho tulifaika kwa kulegezewa?
 
Ushauri wako mtoa Mada tukacheze ligi ya wapi? Na je umeshaiandikia bodi ya wakurugenzi juu ya pendekezo lako?
 
Mfano ni jana tuu kweny kombe la mliofeli pote pote..zimamoto waliwakazia vibaya mnoo...
Jasho likawatoka...
Na fainali wanachukua wazanzibari....
Mmezoea vya kunyonga
Dhambi iko wapi wakichukua? Kwani hizo za Zanzibar sio timu Madame?
 
Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?

Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Mnapenda sana kujitoa ufahamu sasa ambacho hujamuelewa mtoa mada ni nini hicho kikosi huo uzuri wake mnashindwa vipi kuuonesha huko kimataifa mnaishia kuuonesha kwa kina kengold tu, mfano cafcl katika makundi yote kundi lenu ndilo lilikuwa jepesi na hata wenyewe mlishangilia mlivyopangwa nao ila cha ajabu mkashindwa kuvuka sasa huo ubora uko wapi, anyway mimi naona endeleeni kujiona mna kikosi kizuri msikiboreshe wala msiache kufanya match fixing ili kimataifa muendelee kuishia hatua za awali sisi ndio furaha yetu
 
Sawa...ni timu shida hizi timu za bara zinaletaga dharau...
Acha mpira uchezwe wakichukua kama msimu uliopita itakuwa jambo jema kwao. Kombe la muungano ni bonanza la kuwapa physical fitness wachezaji wakati ligi imesimama.

Kombe la muungano halikupi pesa ya maana. Ghalama za maandalizi ni kubwa kuliko pesa ambazo timu zinapata. Kombe la muungano halitoi nafasi yoyote kucheza kimataifa
 
Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.

Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.

Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Azam pia waliwalegezea Yanga?
 
Back
Top Bottom