Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

CYo kuikomaza team tu ila kwenye team yetu kuna baadhi ya wachezaji hawana ubora wa kucheza yanga kwa mfano beki za pembeni
Usiseme hili. Ukisema makomandoo tutakuchukia. Hatupendi mawazo mbadala. Sema tu Yanga imekamilika kila idara na inatisha sana. Hakuna kikosi bora kama hiki.
 
Tatizo mkiambiwa ukweli mnabisha, kwa taarifa yenu simba waligomea ile mechi sababu walikuwa na wasiwasi wachezaji wa yanga wanaweza kukamia mechi, wakawaumiza baadhi ya wachezaji wa simba maana mechi pekee ambayo yanga huwa wanaikamia ni ya simba tu

Yani yanga wako radhi wafungwe na timu nyingine yoyote ila siyo simba mradi tu wawafurahishe mashabiki wao mazumbukuku, sasa simba hawakutaka kurisk kuingia robo fainali timu ikiwa na wachezaji kadhaa majeruhi, maana wao yanga hata wachezaji wao wangeumia wasingekuwa na cha kupoteza sababu hawakuwa wakishiriki michuano yoyote migumu

Na lengo la simba limetimia kwamba hakuna kucheza mechi yoyote na yanga hadi wamalizane na mechi za kimataifa kwanza, baada ya hapo sasa simba hawatakuwa na hofu tena ya kukamiwa na yanga, na sidhani kama kuna watu wanatamani derby ichezwe kama mashabiki wa simba maana kwa sasa wanajua hakuna wa kuwafunga simba tena
Kwa sasa Yanga hakamii mechi ya Simba maana ni zamani sana tangu mikia wamepata ushindi. Mechi ngumu kwa Yanga ni ya dada zenu Azam. Hiki kikosi kinachopata shida kwa timu ya sita Afrika kusini Yanga ndio ikiogope? Ambacho forward anampiga chenga hadi kipa anatoa nje? Ambacho Fondo anapiga one two na forward za timu pinzani? Kikosi ambacho kinatafuta sababu ya mechi kuahirishwa? Tusubiri mechi ikipangiwa tarehe.
 
Unadhani ndani ya kikosi Cha simba hamna wachezaji waliokuwa wanapokea bahasha?. Mtoa mada yupo sahihi, chezeni mpira wa Haki acheni janja njanja
Mkipigwa mnapigwa kihalali sema ni ugumu wa kukubali kwamba mlizidiwa. Timu ikiingia kwenye mfumo inapigwa vizuri tu bila kujali ubora wake.
 
Kimataifa wapi?

Kama klabu bingwa hata kushiriki ulishindwa kwa ubovu wa timu yako ukadondokea kombe la waliofeli shirikisho ambalo sasa hivi mashabiki wa simba mmelipa thamani kubwa kuliko kombe la dunia.

Kwa kushiriki klabu bingwa tu na wewe kushindwa inathibitisha Yanga ni bora kuliko wewe.

Kama wewe ni bora mbona ulishindwa kushiriki klabu bingwa?
Makundi Club bingwa nalo la kusema? Mikia wameshafika hatua ya Robo Fainali ambayo hatujafika. Tumeishia makundi na kundi bovu kama nini. Huko tumesahau kirahisi. Simba hii ambayo ndo inajengwa imefika fainali. Sisi tupo Kombe la Muungano. CAF Fed Simba ilifika fainali mwaka 1993. So ni team ambayo imeweka historia mara 2. Tuache ushabiki vitumbua dogom
 
Makundi Club bingwa nalo la kusema? Mikia wameshafika hatua ya Robo Fainali ambayo hatujafika. Tumeishia makundi na kundi bovu kama nini. Huko tumesahau kirahisi. Simba hii ambayo ndo inajengwa imefika fainali. Sisi tupo Kombe la Muungano. CAF Fed Simba ilifika fainali mwaka 1993. So ni team ambayo imeweka historia mara 2. Tuache ushabiki vitumbua dogo.
 
Kwa sasa Yanga hakamii mechi ya Simba maana ni zamani sana tangu mikia wamepata ushindi. Mechi ngumu kwa Yanga ni ya dada zenu Azam. Hiki kikosi kinachopata shida kwa timu ya sita Afrika kusini Yanga ndio ikiogope? Ambacho forward anampiga chenga hadi kipa anatoa nje? Ambacho Fondo anapiga one two na forward za timu pinzani? Kikosi ambacho kinatafuta sababu ya mechi kuahirishwa? Tusubiri mechi ikipangiwa tarehe.
Shukuruni Mungu mlileta vinywa supu pale vikaleta fujo..ila hiyo mechi mlikua mnaenda kudhalilika...timu ambayo always icheze na simba lazima ipite milango isiyo sahihi...timu ambayo inaamini ushirikina mpk siku hyo mechi imehairishwa bado wakapita geti lisilo lenyewe...
Nakwambia hivi wale watu mliwatuma wafanye fujo ili mechi isichezwe..
Kwa level ya Simba mnyama kwa sasa haitaki kucheza Mpira usiofata kanuni..kama mlizoea zamani timu hazifanyi mazoezi kisa derby ndo kwa sasa hiyo haipo...kocha mpya na mifumo yake hapangiwi tena...kichapo chenu kipo pale pale...
 
Wewe ndio unajitoa ufahamu na kutupangia maisha namna ya kuyaendesha.

Sentensi ya mwisho nimeandika Yanga ni bora sana na itaendelea kuimarika wewe unakuja na maneno msiboreshe kikosi. Timu inaimarikaje bila kuboresha kikosi?

Unazungumzia kimataifa gani ambayo Yanga imeshindwa kuonyesha uwezo wake? Hapa ndio inaonyesha unajitoa ufahamu. Yanga ilitotolewa club bingwa ikaenda shirikisho na kwenda fainali moja kwa moja. Timu ya kwanza toka Tanzania kufika fainali za shirikisho ni Yanga. Unataka uone nini hadi uamini ni timu bora? Kuna match fixing yoyote ilihusika kufika fainali?

Msimu huu Yanga alikuwa anashiriki mashindano ya club bingwa ya Afrika. Unaelewa maana yake? Haya mashindano hachukuliwi mshindi wa tatu au wa nne kwenye ligi ni mabingwa na runners up tu. Simba haikupata nafasi hiyo ikadondekea shirikisho kwa shingo upande. Eti leo mnajivunia mashindano ambayo alipokuwa akishiriki Yanga mliyabeza. Hivi ni vituko.

Ukweli ni kuwa mngeshindwa kuwatoa hao waafrika kusini mnengeabisha nchi na kuishusha thamani ligi yetu. Jambo zuri mmeshinda heko kwenu ila muache kudharau mashindano fulani halafu mkiwa huko mnayageuza kuwa champion league.

Ushauri wa mpinzani siku zote ni kituko hatuwezi kuuchukua hausaidii chochote kwetu.
Ndio maana kule juu nikauliza kwani kikosi kilichocheza fainali ya shirikisho ndio hiki cha sasa, maana watu wanaongelea msimu huu ninyi mnaongelea mambo ya mwaka juzi, kwa sasa yanga hamna kikosi bora mkubali mkatae

Hayo mambo ya kudharau michuano fulani yanga ndio mnayo sana mfano hili kombe la muungano si mlikuwa mnalidharau, jana wachezaji wenu wamelia kisa wameponea chupuchupu kutolewa na wale watoto, kuhusu wale wasauzi kwa taarifa yenu wale wanacheza mpira mzuri na mgumu kuliko ninyi, kwa zile shots on target walizopiga na zile saves alizofanya camara, angekuwa diarra pale mngekufa si chini ya goli tatu

Kama mtu anaruhusu goli hadi kwa timu ndogo kama stand united ndio itakuwa wale wasauzi, yani ninyi hata zamalek msingemtoa achilia mbali stellenbosch, mshukuru tu kwenye safari yenu mlikutana na vibonde kina rivers na marumo waliokuwa wanashuka daraja

Na hapo mlidai mna kikosi bora na mna striker kama mayele ila bado mkashindwa kubeba kombe lile, ila simba na kikosi chao mnachosema kibovu wamefika hiyo hatua mliyofika, yani kwa kifupi hatua ambayo yanga wanafika wakiwa na kikosi bora simba wana uwezo wa kufika wakiwa na kikosi kibovu

Haya msimu uliopita tu hapo simba walikuwa na kikosi kibovu ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, ila bado wakakomaa wakaishia robo ilihali yanga waliojisifu wana kikosi bora nao wakaishia robo hiyo hiyo, matokeo yake wakaishia kulilia kagoli ka mchongo ambako hata wao wenyewe hadi leo hawana uhakika kama kalikuwa halali au la
 
Makundi Club bingwa nalo la kusema? Mikia wameshafika hatua ya Robo Fainali ambayo hatujafika. Tumeishia makundi na kundi bovu kama nini. Huko tumesahau kirahisi. Simba hii ambayo ndo inajengwa imefika fainali. Sisi tupo Kombe la Muungano. CAF Fed Simba ilifika fainali mwaka 1993. So ni team ambayo imeweka historia mara 2. Tuache ushabiki vitumbua dogom
Sio robo fainali moja robo fainali mara 4 club Bingww niwaweke sawa kidogo majirani....
 
Unadhani ndani ya kikosi Cha simba hamna wachezaji waliokuwa wanapokea bahasha?. Mtoa mada yupo sahihi, chezeni mpira wa Haki acheni janja njanja
Akili za kijinga .... Hizi ni akili za waliofeli 😂😂.
Nyie mbumbu tunajua matatizo yenu... Fainal ya looser inatoa na mihemko... Kabla ya hapa mlikuwa mnamtukana Mangungu saizi hatuon tena na wala Mangungu sio tatizo ...🙌🙌 Puuzi kabisa
 
Siyo looser ni loser.
 
Unadhani ndani ya kikosi Cha simba hamna wachezaji waliokuwa wanapokea bahasha?. Mtoa mada yupo sahihi, chezeni mpira wa Haki acheni janja njanja
Nyie mikia mmewafukuza wachezaji ambao tulikuwa na mahusiano nao mazuri. Akina chama, baleke, inonga na manura mmeamua kumsotesha bench. Hawa jamaa walitusaidia sana ile match. Na tungeongezewa muda ilikuwa tuwapige hata 10 mbwa nyie. Lakini pia kuna viongozi wa simba tunakula nao bado.....
 
Shukuruni Mungu mlileta vinywa supu pale vikaleta fujo..ila hiyo mechi mlikua mnaenda kudhalilika...timu ambayo always icheze na simba lazima ipite milango isiyo sahihi...timu ambayo inaamini ushirikina mpk siku hyo mechi imehairishwa bado wakapita geti lisilo lenyewe...
Nakwambia hivi wale watu mliwatuma wafanye fujo ili mechi isichezwe..
Kwa level ya Simba mnyama kwa sasa haitaki kucheza Mpira usiofata kanuni..kama mlizoea zamani timu hazifanyi mazoezi kisa derby ndo kwa sasa hiyo haipo...kocha mpya na mifumo yake hapangiwi tena...kichapo chenu kipo pale pale...
Nasubiri mechi ipangiwe tarehe kipigwe. Maana najua mnaitaka mechi mnafikiri wachezaji wa Yanga hawaitaki mechi. Hayo mengine yanayoendelea ni kuonyesha kile unachokisema kuwa kanuni zinatakiwa kufuatwa. Sio viongozi wanaosimamia mpira wanaenda front kukingia kifua timu fulani isikumbane na rungu la kanuni. Hii mechi itachezwa tu tuendelee kusubiri.

Kuhusu kupita mlango mwingine ni kukwepa ushirika wa waendesha basi kinyumenyume toka kimara hadi kwa mkapa, wanaowasha moto uwanjani nchi za watu na kuota katika ya uwanja, wang'oa viti. Unapokutana na watu wa aina hii lazima uwe na tahadhari hawashindwi kuijaza kinyesi njia nzima ya mlango wa kuingilia
 
Kimataifa wapi?

Kama klabu bingwa hata kushiriki ulishindwa kwa ubovu wa timu yako ukadondokea kombe la waliofeli shirikisho ambalo sasa hivi mashabiki wa simba mmelipa thamani kubwa kuliko kombe la dunia.

Kwa kushiriki klabu bingwa tu na wewe kushindwa inathibitisha Yanga ni bora kuliko wewe.

Kama wewe ni bora mbona ulishindwa kushiriki klabu bingwa?
Hivi hamuoni kama hii point ndio inafanya simba waonekane bora kuliko yanga, yani kwa kauli hizi ndio mnazidi kuthibitisha ile kauli yangu, kwamba hatua ambayo yanga wanafika wakiwa na kikosi bora simba wana uwezo wa kufika wakiwa na kikosi kibovu

Ni kweli msimu uliopita simba walikuwa na kikosi kibovu ambacho karibu kila shabiki alikikatia tamaa, lakini cha ajabu wakafika robo kama yanga tu ambao walijisifu wana kikosi bora, matokeo yake wakaishia kulilia kagoli ka mchongo ambacho hadi leo hawana uhakika kama kalikuwa halali au la

Kwahivyo simba kucheza shirikisho msimu huu ni matokeo ya kikosi kibovu cha msimu uliopita ambacho karibu wachezaji wote wameondoka, wamekuja wapya na wakaanza kujenga timu lakini cha ajabu pamoja na kujenga timu na kikosi chao kipya, wamefika hatua ya fainali shirikisho hatua ambayo yanga ilihitaji kikosi bora ili kuifikia tena wakiwa na striker kama mayele ila bado wakashindwa kubeba lile kombe hii tafsiri yake nini au ndio eymael ajengewe sanamu
 
Team inaendeshwa kitoto sanaa,
Muro anaisemea Yanga,Manara,Kamwe,Priva
Vituko vya ajabu ajabu
 
Nasubiri mechi ipangiwe tarehe kipigwe. Maana najua mnaitaka mechi mnafikiri wachezaji wa Yanga hawaitaki mechi. Hayo mengine yanayoendelea ni kuonyesha kile unachokisema kuwa kanuni zinatakiwa kufuatwa. Sio viongozi wanaosimamia mpira wanaenda front kukingia kifua timu fulani isikumbane na rungu la kanuni. Hii mechi itachezwa tu tuendelee kusubiri.

Kuhusu kupita mlango mwingine ni kukwepa ushirika wa waendesha basi kinyumenyume toka kimara hadi kwa mkapa, wanaowasha moto uwanjani nchi za watu na kuota katika ya uwanja, wang'oa viti. Unapokutana na watu wa aina hii lazima uwe na tahadhari hawashindwi kuijaza kinyesi njia nzima ya mlango wa kuingilia
Hizo za bus zote ni mbwembwe tuu na kuhusu SA...ile ilikua ni ubani tuu na ibada kama ibada....mtapigwaA mchakaeee
 
Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?

Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Kwani mpaka mantolewa kwnye mashindano ya Club Bingwa hatua ya makundi mlikuwa bado hamjaimarika...??
 
Hizo za bus zote ni mbwembwe tuu na kuhusu SA...ile ilikua ni ubani tuu na ibada kama ibada....mtapigwaA mchakaeee
Hizo ibada zenu za kishirikina ndio zinatufanya tuwe na tahadhari nanyi. Hivyo msitulaumu tunapoamua kupita njia tofauti na mliyofanyia ibada🤣🤣🤣
 
Hizo ibada zenu za kishirikina ndio zinatufanya tuwe na tahadhari nanyi. Hivyo msitulaumu tunapoamua kipita njia tofauti na mliyofanyia ibada🤣🤣🤣
Safari hii tunatega kila kona hata mpite hewani hahaahahhah
 
Back
Top Bottom