Tanzania ina someka pale. Huoni mwenzangu?ni sifa kwa Tanzania. Tusiwe na wivu mbaya. Tupambane tu tunaweza.Wamejiweka boss. Hii kuwekwa na mikia ni ya kwako.
Haujabakiza kitu umesema yoteee mtani..Unakuwa na MVP toka Ivory coast, Cameroon, Ubrikinabe, wachezaji bora Tanzania halafu usumbuliwe na vitimu vya hovyo vinavyoshika nafasi ya tano kwenye ligi? Timu kubwa zikidondekea huko bahati mbaya tu unazikuta fainali. Simba ilichofanya ndio kinatakiwa kiwe siku zote. Ukidondokea huko ni kuhakikisha kufeli kwako ni nusu no excuses.
Hilo kombe chukueni au mkishindwa iwe kwa mbinde au kikanuni vinginevyo tutadai kodi za wananchi mnazotumia.
Tangu lini timu bora ina wasiwasi kuingia vitani, mbona Yanga ilipambana ikiwakosa Aucho, Pacome na Yao Yao na iliupiga mwingi tu kule South Africa hadi Makolokolo mlibaki mmeduwaa kama mapaka shume yanayokata roho?Tatizo mkiambiwa ukweli mnabisha, kwa taarifa yenu simba waligomea ile mechi sababu walikuwa na wasiwasi wachezaji wa yanga wanaweza kukamia mechi, wakawaumiza baadhi ya wachezaji wa simba maana mechi pekee ambayo yanga huwa wanaikamia ni ya simba tu
Yani yanga wako radhi wafungwe na timu nyingine yoyote ila siyo simba mradi tu wawafurahishe mashabiki wao mazumbukuku, sasa simba hawakutaka kurisk kuingia robo fainali timu ikiwa na wachezaji kadhaa majeruhi, maana wao yanga hata wachezaji wao wangeumia wasingekuwa na cha kupoteza sababu hawakuwa wakishiriki michuano yoyote migumu
Na lengo la simba limetimia kwamba hakuna kucheza mechi yoyote na yanga hadi wamalizane na mechi za kimataifa kwanza, baada ya hapo sasa simba hawatakuwa na hofu tena ya kukamiwa na yanga, na sidhani kama kuna watu wanatamani derby ichezwe kama mashabiki wa simba maana kwa sasa wanajua hakuna wa kuwafunga simba tena
Najua unajua ukweli hilo wala sina shaka nalo....Tangu lini timu bora ina wasiwasi kuingia vitani, mbona Yanga ilipambana ikiwakosa Aucho, Pacome na Yao Yao na iliupiga mwingi tu kule South Africa hadi Makolokolo mlibaki mmeduwaa kama mapaka shume yanayokata roho?
Makolokolo mshukuru mmekutana na vitimu visivyoeleweka ndiyomaana mmefika hapo.
Makolokolo = Kamdomo
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Makolokolo mna kamdomo sana.Hivi hao Uto wanaosema Simba iliwakimbia trh 8 huwa siwaelewi??
Kwanini mliwazuia Simba kufanya mazoezi?? Kisa mbuzi?
Mbona supu mnakunywaga?
Buahhahaahhahh leteni timu mtwangwe
Sawa mimi ni simba jike. Sasa niambie wewe Fisi Jike. Hata imani zako ni za kifisi fisi tu. Yaani hawa Simba tunawafunga kwa mkapa mpaka 5 halafu watie mkono kwenye matches zetu tushindwe wafunga wapinzani? Ndo mafisi mnavyofikiria? Huu ujinga unalishwa na nani we dogo usiye na elimu? Mpira ni mchezo wa wazi dogo akili za kuambiwa changanya na zako. Nimeona kabisa wewe ni Fisi Jike.Dogo akili yako ni kama ya Simba jike,
Sikiliza, timu yetu niz nzuri, usajili ni excellent, sio kweli kuwa tunalegezewa, matokeo ya CAF mwaka huu ilikuwa ni bahati mbaya, lakini usisahahu mechi zetu zote tunazocheza Kwa Mkapa Vibwengo lazima watie mkono.
Kumbuka tulicheza mpaka robo Klabu Bingwa, Fainali ya Shirikisho, bado unalialia? Wewe lazima utakuwa Simba jike.
Wewe fisi maji hujui mpira dogo. Waachie wenye mpira wata discuss wewe subiri tukiitiwa soup ukanywe.Kelele we Makolokolo Mwandamizi, Real Madrid SC na Al Ahal wametolewa kwenye mashindano ya UEFA CL na CAF CL, nao huwa wanalwgezewa miaka yote au ukubwa na ubora wao ulikuwa wa kila mwaka?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yanga wenye akili si tupo wawili tu? Hilo lipo wazi siyo siri.Kumbuka tu mashabiki wa Yanga siyo mbumbumbu kama ulivyo wewe.
Huna akili.Makundi Club bingwa nalo la kusema? Mikia wameshafika hatua ya Robo Fainali ambayo hatujafika. Tumeishia makundi na kundi bovu kama nini. Huko tumesahau kirahisi. Simba hii ambayo ndo inajengwa imefika fainali. Sisi tupo Kombe la Muungano. CAF Fed Simba ilifika fainali mwaka 1993. So ni team ambayo imeweka historia mara 2. Tuache ushabiki vitumbua dogo.
Kitoto cha 2000s bado unanuka maziwa hata hukuwa umetungwa mimba kipindi mikia wanafika CAF FED fainal unaweza kuta hata mama yako alikuwa hajazaliwa. Nyie madogo mtuheshimu si wengine ni baba zenu. Siyo mpaka mtambulishwe.Huna akili.
CAFCCL 2004, Vitoto vya 2000 kuna mahali nyuzi zimekatika kwenye bongo zenu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Yuko sahihi, kabla hujazaliwa looser ndiyo neno tulilokuwa tukilitumia sisi Baba zako we Kolowizard.Siyo looser ni loser.
Mafanikio ya Simba hayaifanyi Yanga iwe top ten ya Club Afrika. Mafanikio ya Simba ni kwa faida yao na timu zinazoshika nafasi ya tatu na nne. Kila timu inabeba mzigo wake. Na ndio wao champions league wanaanzia preliminary stage 2 sisi preliminary stage 1.Tanzania ina someka pale. Huoni mwenzangu?ni sifa kwa Tanzania. Tusiwe na wivu mbaya. Tupambane tu tunaweza.
Hujui hata maana ya looser na loser. Vitoto vya miaka ya 2000s english inawasumbua. Hata dictionary hamjui kusoma. Kipindi sisi tunasoma nyie mlikuwa kwenye korodani mnasubiri tu tuwacheue.😁Yuko sahihi, kabla hujazaliwa looser ndiyo neno tulilokuwa tukilitumia sisi Baba zako we Kolowizard.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kweli mi ni baba yako, shukuru Mama yako alinishauri nisipige punyeto ndiyomaana ukazaliwa wewe Junior in 2000yrs, mbali na hapo ningekuacha uendelee kuliwa na nguchiro shambani maana ulikuwa ni karanga mbichi hata kiunoni kwangu ulikuwa hujaja.Kitoto cha 2000s bado unanuka maziwa hata hukuwa umetungwa mimba kipindi mikia wanafika CAF FED fainal unaweza kuta hata mama yako alikuwa hajazaliwa. Nyie madogo mtuheshimu si wengine ni baba zenu. Siyo mpaka mtambulishwe.
Mafanikio ya Simba yanatuweka kwenye ramani na sisi tunaheshimika kimataifa. Nasi tunaonekana tupo.Mafanikio ya Simba hayaifanyi Yanga iwe top ten ya Club Afrika. Mafanikio ya Simba ni kwa faida yao na timu zinazoshika nafasi ya tatu na nne. Kila timu inabeba mzigo wake. Na ndio wao champions league wanaanzia preliminary stage 2 sisi preliminary stage 1.
Linapokuja swala la club hakuna uzalendo duniani kote. Uzalendo ni kwenye timu ya taifa tu
Acheni kutu uzia maana kila siku tunawabondaNi kweli Yanga tuache kununua mechi inafanya timu yetu iwe dhaifu , maana mashindano ya kimataifa mechi hazinunuliki tutapigwa sana
Ubora wetu sio kwa ken gold tu hata tukikutana na simba tunauonyesha ndo maana tumewafunga mara nne mfululizo, kutolewa mashindano ya caf ni matokeo tu ya mpira.Mnapenda sana kujitoa ufahamu sasa ambacho hujamuelewa mtoa mada ni nini hicho kikosi huo uzuri wake mnashindwa vipi kuuonesha huko kimataifa mnaishia kuuonesha kwa kina kengold tu, mfano cafcl katika makundi yote kundi lenu ndilo lilikuwa jepesi na hata wenyewe mlishangilia mlivyopangwa nao ila cha ajabu mkashindwa kuvuka sasa huo ubora uko wapi, anyway mimi naona endeleeni kujiona mna kikosi kizuri msikiboreshe wala msiache kufanya match fixing ili kimataifa muendelee kuishia hatua za awali sisi ndio furaha yetu
umekiona kikosi kilichopangwa au unaongea tuMfano ni jana tuu kweny kombe la mliofeli pote pote..zimamoto waliwakazia vibaya mnoo...
Jasho likawatoka...
Na fainali wanachukua wazanzibari....
Mmezoea vya kunyonga
Vyote nafanya....umekiona kikosi kilichopangwa au unaongea tu