permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Sio kweli, hivi Yanga angeshiriki shirikisho ni timu ipi ingemtoa? Hii Simba bado mbovu, ingekuwa club bingwa asingekatiza robo fainali.Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.