KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 458
- 649
Mwenye akili VS MBUMBUMwenye akili hatafuti akili ni kazi ya mbumbumbu kuzitafuta.
Nguvu moja---Nyuma mwiko
Mwenyenchi---Mwananchi
Simba Queens--Yanga Princess
.
.
.
.
Mwenye akili VS MBUMBUMwenye akili hatafuti akili ni kazi ya mbumbumbu kuzitafuta.
Kipindi Yanga inacheza shirikisho mpk fainali, Simba ilicheza mpaka robo fainal CAF champion leagueKwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Kwa hiyo Yanga naye alilegea akajua ile sheria CAF bado ipo, ukitolewa CAF champion league, unaenda shirikisho. Matokeo yake mkaishia makundiSimba mlipigwa 5 na kwa miaka 4 hamjaokota point kwa yanga. Swali huwa mnalegea na kwa mnalegea?? Mfupa mnaofeli nyinyi eti mmtwishe fountain gate?? Shame on you
Unapata wapi muda wa kuandika pumba hizi?Oohh sorry nilisahau kumbe malengo yenu yalikuwa kuingia makundi, maana huko kwingine ninyi hampataki bali napataka mimi sasa, halafu kwa hali hiyo ndio mnajifananisha na simba aise
Yani mabeki wenu kina Bacca wanacheza jihad halafu mnasema eti timu bora haina wasiwasi wa kuingia vitani, lengo lenu wachezaji wa simba waumie ili washindwe kusonga mbele, halafu mjitoe ufahamu mseme simba ni wabovu kumbe ukweli mnaufahamu
Tatizo liko wapi ninyi subirini simba wamalizane na mechi za kimataifa halafu waje kucheza derby wakiwa full mkoko mkiwafunga hapo ndio mje mtambe mnavyoweza, halafu unasema yanga ilipambana ilipowakosa kina Aucho unaongea kana kwamba yanga walikuwa na option ya kuahirisha mechi, ila wakaamua kuenda kucheza hivyo hivyo tu
Wakati unajua kabisa timu haina uwezo wa kugomea mechi za caf maana inajua kitakachofuata, mbona hata simba walishacheza na timu ngumu huku wakiwakosa baadhi ya wachezaji wake muhimu, na bado wakatoboa sasa hapo cha ajabu ni kipi
Sasa mbona unarudia yale yale niliyotoka kukuambia kweli eymael ajengewe sanamu lake, si nimetoka kukuambia hapo kwamba simba msimu uliopita walikuwa na kikosi kibovu ndio maana wakaishia nafasi ya tatu na kuangukia shirikisho msimu huu, lakini pamoja na huo ubovu wa simba bado wakaishia robo fainali cafcl kama yanga tu ambao walidai wana kikosi bora
Lakini pia simba hii ya msimu huu ambayo ina wachezaji wengi wapya na inajenga timu imefika fainali cafcc kama yanga tu ambao wao walikuwa na kikosi bora, kwamba unataka kusema msimu uliopita kundi la simba lilikuwa jepesi sana ndio maana wakapita kuenda robo, hivi mashabiki wa yanga mbona mnapenda kujitoa ufahamu haya vipi na msimu huu ambao mlikuwa kwenye kundi jepesi kuliko yote mmeishia wapi
Hayo mambo ya kutolewa kwa penati wala siyo ajabu hata simba waliwahi kutolewa kwa penati na wydad na mkawacheka na kusema ni wabovu, tulikubaliana kufa ni kufa tu hakuna kufa kiume wala kufa kinamna gani, kuhusu kuwafunga simba mara nne mfululizo hivi una habari kwamba msimu huu barcelona ameshamfunga madrid mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha 5-2 sasa sijui unataka kusemaje
Ofcourse haya mashindano ya cafcc wakati mnacheza ninyi yalistahili kuitwa loosers cup sababu yalikuwa ni mashindano ya walioshindwa klabu bingwa na kudondokea shirikisho, ila kwa sasa siyo ya loosers kwa sababu timu zinashiriki moja kwa moja kutoka kwenye ligi zao na siyo baada ya kufeli klabu bingwa, nashangaa wengine wanasema eti ni mashindano ya malooser toka kwenye ligi zao kama ni hivyo huko cafcl si wangekuwa wanachukua mabingwa wa ligi pekee mbona wanachukua hadi walioko kwenye nafasi za pili
Kwenye caf ranking timu lako linashika nafasi ya ngapi au kama hamjui umuhimu wa timu kupanda rank muulizeni msemaji wenu, yanga mna consistency gani kimataifa hadi mjifananishe na simba mmeingia robo fainali cafcl msimu mmoja tu msimu uliofuata mkatema bungo, simba wamecheza hiyo robo mara tano mfululizo walau wamevuna pesa za kutosha toka kwa caf baada ya kufika kwenye hatua hiyo
Mbumbu hayupo ila Mbumbumbu wapo alishawatambulisha baba yao mzee Aden. Hatupingi anachosema mzazi anayewajua watoto wakeMwenye akili VS MBUMBU
Nguvu moja---Nyuma mwiko
Mwenyenchi---Mwananchi
Simba Queens--Yanga Princess
.
.
.
.
Kuna timu kwa miaka mitatu inajivunia kupata kombe la kuunda group la whatsapp na kibegi kwenda mlima Kilimanjaro. Hii nchi kuna watu kama wamerogwa🤣🤣🤣🤣Kipindi Yanga inacheza shirikisho mpk fainali, Simba ilicheza mpaka robo fainal CAF champion league
Simba anacheza shirikisho fainali, Yanga ameishia makundi ya champion league.
Timu ya Olympic inayojivunia ubingwa wa medali, ligi ya ndani inafunga timu mpaka goli na 8 ila ikitoka nje, inapigwa 3-0 (Boulzdad), 2-0 (Al hilal).
Bahasha fc wenye akili wanaongezekaKocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Una uhakika wewe ni mwana yanga?cz kwao kusema ukwel ni mwiko kama ilivyo kwa ccmMakundi Club bingwa nalo la kusema? Mikia wameshafika hatua ya Robo Fainali ambayo hatujafika. Tumeishia makundi na kundi bovu kama nini. Huko tumesahau kirahisi. Simba hii ambayo ndo inajengwa imefika fainali. Sisi tupo Kombe la Muungano. CAF Fed Simba ilifika fainali mwaka 1993. So ni team ambayo imeweka historia mara 2. Tuache ushabiki vitumbua dogom
Ingekuwa na kikosi kizuri ingefika fainali na kutwaa kombe CAFCL..Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
🚮🚮Ingekuwa na kikosi kizuri ingefika fainali na kutwaa kombe CAFCL..
Subirini simba wamalizane na mechi za kimataifa ndio mtajua kama wanamuogopa huyo bacca au la, kama viongozi wenu walizoea kuwatuma wachezaji wenu wawaumize wachezaji muhimu wa simba kwa makusudi ili wasifike mbali basi safari hii wamegonga mwamba, kwa uchezaji huu wa yanga hakuna mchezaji wa simba anayewaogopa simba hii siyo ile ya mwanzo wa msimu ya kina mutale na mavambo ambayo mlihangaika kupata ushindi mkaishia kushangilia kagoli ka kujifunga tuPumba tupu. Yaani timu inamuogopa Bacca unaiita timu bora. Hivi ni Looser or loser?
Mashabaki pekee wanaobadirisha shirikisho kuwa champions league wanaposhiriki wao.Haya bwana 🤣🤣🤣
Sasa inategemea huyo mtu mnayepigana huwa anakukuta katika hali gani je kama kila mkikutana huwa hauko vizuri unaumwa unadhani atakuwa anakushinda sababu ya ubora, ni vile tu mliwakuta simba msimu uliopita walikuwa na kikosi kilichochoka na msimu huu walianza na kikosi kipya, halafu si huwa mnadai madrid ni bora sababu wana makombe mengi kuliko barcelona sasa mbona mnabadili kauli tenaYaani kuwakamia ndo mara nne? mfano wewe leo upigwe na mtu halafu uone amekubahatisha, ukakutana nae tena awamu ya pili akakupiga, ya tatu, ya nne bado uone anabahatisha tu! mi ni shabiki wa madrid ila kwa sasa nakubali barcelona ni bora zaidi yetu.
Hilo swali mlitakiwa muanze kujiuliza na kuulizana mashabiki wa uto kwanzaUnapata wapi muda wa kuandika pumba hizi?
Huyu mtoa mada ni kolo wahed, Yanga haijalegezewa na timu yoyote ushindi inaopata ni ubora wa wachezaji na benchi la ufundi, simba haina mbinu mpira ni mchezo wa wazi tunaona wanavyostruggle hawafungi mpaka wasaidiwe na marefa,Wewe bwege kweli fainali ya shirikisho tulifaika kwa kulegezewa?
Yanga kama ni mbovu hiyo trh 8 mlikimbia nini?, Unaweza kumkimbia mnunua mechi?.
Hongera sana kwa kujitoa kwenye orodha ya wakosa akili, sasa mmekuwa watatu JK, Mzee Manara na wewe!Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Sisi wenye akili huwa tunaitwa mikia.Mmeanza kupata akili sasa, na bado.
🚮Subirini simba wamalizane na mechi za kimataifa ndio mtajua kama wanamuogopa huyo bacca au la, kama viongozi wenu walizoea kuwatuma wachezaji wenu wawaumize wachezaji muhimu wa simba kwa makusudi ili wasifike mbali basi safari hii wamegonga mwamba, kwa uchezaji huu wa yanga hakuna mchezaji wa simba anayewaogopa simba hii siyo ile ya mwanzo wa msimu ya kina mutale na mavambo ambayo mlihangaika kupata ushindi mkaishia kushangilia kagoli ka kujifunga tu
Sasa inategemea huyo mtu mnayepigana huwa anakukuta katika hali gani je kama kila mkikutana huwa hauko vizuri unaumwa unadhani atakuwa anakushinda sababu ya ubora, ni vile tu mliwakuta simba msimu uliopita walikuwa na kikosi kilichochoka na msimu huu walianza na kikosi kipya, halafu si huwa mnadai madrid ni bora sababu wana makombe mengi kuliko barcelona sasa mbona mnabadili kauli tena
Hilo swali mlitakiwa muanze kujiuliza na kuulizana mashabiki wa uto kwanza
Kumbe unakubali kuwa simba ilikua mbovu, sasa mbona mlikua hamkubali kuwa yanga ilikua bora zaidi yenu! halafu km nyinyi wenye uwekezaji mkubwa mulikua hamutuwezi ndo mulikua munaamini hizi timu ndogo ni bora zaidi yenu na zina uwezo wa kutufunga, halafu kuhusu madrid ina uefa cl 15 unataka ifanane na barcelona yenye uefa 5! tena mwaka 2000 fifa waliipa madrid tuzo ya club bora ya karne.Subirini simba wamalizane na mechi za kimataifa ndio mtajua kama wanamuogopa huyo bacca au la, kama viongozi wenu walizoea kuwatuma wachezaji wenu wawaumize wachezaji muhimu wa simba kwa makusudi ili wasifike mbali basi safari hii wamegonga mwamba, kwa uchezaji huu wa yanga hakuna mchezaji wa simba anayewaogopa simba hii siyo ile ya mwanzo wa msimu ya kina mutale na mavambo ambayo mlihangaika kupata ushindi mkaishia kushangilia kagoli ka kujifunga tu
Sasa inategemea huyo mtu mnayepigana huwa anakukuta katika hali gani je kama kila mkikutana huwa hauko
Ndio labda kama hukuelewa hoja yangu mimi hoja yangu ni kwamba hatua ambayo yanga wanafika wakiwa na kikosi bora simba wana uwezo wa kufika wakiwa na kikosi dhaifu, yanga mlifika hatua ya fainali cafcc mkiwa na kikosi bora tena mna striker kama mayele lakini simba wamefika hatua hiyo hiyo wakiwa na kikosi dhaifu tena wakiwa wanajenga timu wakiwa na wachezaji wengi wapya, msimu uliopita pia hivyo hivyo yanga mliokuwa na kikosi bora mliishia robo fainali cafcl sawa na simba tu ambao walikuwa na kikosi dhaifu na bado na kikosi chao hicho hicho dhaifu wameweza kupanda kwenye ranks za caf na kuwa timu namba nne kwa ubora africa huku yanga yenye kikosi bora ikiwa haipo hata top ten.. tatizo siyo uefa tatizo ni kwamba kwa sasa madrid wameshafungwa na barcelona mechi nne mfululizo sasa kama hoja ni ubovu kwa sababu ya kufungwa mara kadhaa na mpinzani wako mkubwa basi maana yake ni kwamba madrid nao kwa sasa ni wabovuKumbe unakubali kuwa simba ilikua mbovu, sasa mbona mlikua hamkubali kuwa yanga ilikua bora zaidi yenu! halafu km nyinyi wenye uwekezaji mkubwa mulikua hamutuwezi ndo mulikua munaamini hizi timu ndogo ni bora zaidi yenu na zina uwezo wa kutufunga, halafu kuhusu madrid ina uefa cl 15 unataka ifanane na barcelona yenye uefa 5! tena mwaka 2000 fifa waliipa madrid tuzo ya club bora ya karne.
Mi sio miongoni mwa wanaoamini kuwa hii simba ya sasa ni dhaifu na yanga ni bora, mpaka sasa zikikutana mi nawapa 50 kwa 50, halafu na spain kwa sasa barcelona ni bora dhidi ya madrid, ifike wakati tujifunze kuheshimu ubora wa mpinzani sio kuleta ushabiki tu.Ndio labda kama hukuelewa hoja yangu mimi hoja yangu ni kwamba hatua ambayo yanga wanafika wakiwa na kikosi bora simba wana uwezo wa kufika wakiwa na kikosi dhaifu, yanga mlifika hatua ya fainali cafcc mkiwa na kikosi bora tena mna striker kama mayele lakini simba wamefika hatua hiyo hiyo wakiwa na kikosi dhaifu tena wakiwa wanajenga timu wakiwa na wachezaji wengi wapya, msimu uliopita pia hivyo hivyo yanga mliokuwa na kikosi bora mliishia robo fainali cafcl sawa na simba tu ambao walikuwa na kikosi dhaifu na bado na kikosi chao hicho hicho dhaifu wameweza kupanda kwenye ranks za caf na kuwa timu namba nne kwa ubora africa huku yanga yenye kikosi bora ikiwa haipo hata top ten..
Oohh kumbe mkibanwa vizuri huwa mnakubali ukweli sasa toka mwanzo ulichokuwa unabisha ni nini, si ulitoka kusema kwamba simba ni mbovu kisa imefungwa na yanga mara nne mfululizo na madrid ni bora kisa ina makombe mengi kuliko barcelona, ndio mjifunze kwamba ubora wa timu huwa unaamuliwa na mambo mengi na siyo vigezo mnavyoviweka mashabiki wa yanga tuMi sio miongoni mwa wanaoamini kuwa hii simba ya sasa ni dhaifu na yanga ni bora, mpaka sasa zikikutana mi nawapa 50 kwa 50, halafu na spain kwa sasa barcelona ni bora dhidi ya madrid, ifike wakati tujifunze kuheshimu ubora wa mpinzani sio kuleta ushabiki tu.