Hicho kikosi uwezo wake ndio huo wa Zanzibar!Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
🚮Hicho kikosi uwezo wake ndio huo wa Zanzibar!
Hakuna kikosi cha kufunga goli 5 halali!
Uhuni mnaofanya ni kucheza kamari kwa niaba ya wachezaji wa timu pinzani ili wawafanikishie lenu na wa wachukue pesa zao
Hilo kombe ambalo mnajivunia kwa miaka 3 unafikiri mnyama hajachukua kwa hiyo miaka kipindi kile timu yako inatembeza bakuli la omba omba?Kuna timu kwa miaka mitatu inajivunia kupata kombe la kuunda group la whatsapp na kibegi kwenda mlima Kilimanjaro. Hii nchi kuna watu kama wamerogwa🤣🤣🤣🤣
Bzdad walipigwa 4 pia au unajisahaulisha? Na tukitaja historia kaize chiefs walishawapiga 5 wakiwa nafasi ya 10 kwenye ligi yao.
HAta sisi simba basi zile 5 pia tulilegeza kama ni hivyo bench letu la ufundi lichukuliwe hatua akiwemo matola maana nadhani huyo ndio aliye baki.Azam pia waliwalegezea Yanga?
Tukisema mzee Aden anawajua vizuri mlivyo mnakuwa wakali. Wakati Yanga inawapiga tano ndio kipindi iliishia makundi? 🚮Hilo kombe ambalo mnajivunia kwa miaka 3 unafikiri mnyama hajachukua kwa hiyo miaka kipindi kile timu yako inatembeza bakuli la omba omba?
Hizo ni 4 za Boulzdad zilikuwa za mchongo ndiyo maana Aly Kwamwe alizimia kwasababu ni jambo ambalo halipo kwa Yanga.
Pamoja na kuifunga Simba 5, Boulzdad 4 na kaizer chiefs 4 mkaishia makundi ya Champion League. Ni aibu kubwa sana, bora mngeishia mwakarobo kuliko mwakakikundi
Zanzibar hakukuwa na timu nzuri na hakuna iliyopigwa hata tatu.Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Kama timu uliyoifunga 5 inaishia robo fainal ya champion league. Na timu ambayo mnajisifu mnatembeza dozi za 5 nayo inaishia robo fainal champion. Huoni kama ni ujinga huuTukisema mzee Aden anawajua vizuri mlivyo mnakuwa wakali. Wakati Yanga inawapiga tano ndio kipindi iliishia makundi? 🚮
Narudia tena mzee Aden hakukosea. Una uhakika na record unazoandika? Lini Yanga imechukua kombe la mapinduzi? 🚮Kama timu uliyoifunga 5 inaishia robo fainal ya champion league. Na timu ambayo mnajisifu mnatembeza dozi za 5 nayo inaishia robo fainal champion. Huoni kama ni ujinga huu
Leo hii Yanga inajisifia kuchukua ubingwa wa Mapinduzi. Maisha yanabadilika sana
Kwa kikosi cha Yanga, nilitegemea mtacheza fainali ya champion league
Zanzibar Yanga ilienda kufanya mazoezi wakati ligi imesimama. Kombe la Muungano ni kama makombe mengine ya bonanza kusherehesha tukio. Itakuwa ajabu wachezaji wakijitoa na kupata majeraha kwa ajili ya Muungano.Zanzibar hakukuwa na timu nzuri na hakuna iliyopigwa hata tatu.
Mna kikosi kizuri sana?Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Nimeshaandika nilichoandika sema hoja yako usitake nirudie.Mna kikosi kizuri sana?
kati ya majukwaa yenye maujinga mengi sn bs hili la sports linaongoza kama huyu mtoa thread mara aseme yeye ni shabiki wa mashujaa saivi kawa mwana yanga halafu eti naye ana akili timamu huko kwao.Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Mtoa mada ni mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Mashujaa waulize kaka zako au wanaume wengine wanaweza kukwambia Eline. Nenda angalia threads zangu Jukwaa la michezo. Kuwatakia ushindi Mashujaa ni maamuzi tu. Ulitaka niwatakie ushindi Simba? Anyway. Uliza wanaume watakuambia mimi ni Mwananchi. Ila mwenye akili siyo ndondocha kama .....kati ya majukwaa yenye maujinga mengi sn bs hili la sports linaongoza kama huyu mtoa thread mara aseme yeye ni shabiki wa mashujaa saivi kawa mwana yanga halafu eti naye ana akili timamu huko kwao.