Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Kama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo subs za kumwaga, Kagere, Boko, Kahata, kama nawaona utopolo.Kama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'View attachment 1539355
Aah mkude tena?! Labda Wawa.Toa Wawa weka Ame.
Toa Mkude weka Fraga
Unajua nini, mimi sio mnafiki ila usajili wa Bwalya na Mugali. Ndo ni zakizazi sana. NomaWatu watajuta
Mimi ni shabiki nguli wa Timu ya wananchi Young Africans Sc, kusema ukweli nakosa amani kabisa kila nikifikiria tutakutana na Simba sc mara mbili kwenye ligi kuu msimu ujao, na kila nikiangalia kikosi chao kinavyotisha naona tukipigwa 5 tena kama kipindi kile.Kama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'View attachment 1539355
Haha , Nyie mnaanza mazoezi lini.Mimi ni shabiki nguli wa Timu ya wananchi Young Africans Sc, kusema ukweli nakosa amani kabisa kila nikifikiria tutakutana na Simba sc mara mbili kwenye ligi kuu msimu ujao, na kila nikiangalia kikosi chao kinavyotisha naona tukipigwa 5 tena kama kipindi kile.
Daima mbele nyuma mwiko.
Hii ni yakukaba sio ?! Iko poa.
Ila mbona siku hizi Kagere tunamchkulia poa sana ?!
Hii timu hata ikicheza na friends rangers inapigwa 4 bila
Weka maoni yako, !Hii timu hata ikicheza na friends rangers inapigwa 4 bila
Hii timu ikikutana na timu inayopaki basi afu anapiga mipira mirefu nyuma ya mabeki hasa pembeni lazima akufunge tuWeka maoni yako, !
Mkude anasubiri kwa Fraga kwa sasaAah mkude tena ?! Labda Wawa.
Kama kweli hivi.Hii timu ikikutana na timu inayopaki basi afu anapiga mipira mirefu nyuma ya mabeki hasa pembeni lazima akufunge tu
Reffer Leicester city ya 2016 ilikuwa inacheza style hii ninayoisema
Tumeshaanza mkuu tunataka kuondoa ufalme wa mnyama Simba, maana katutesa sana hii miaka mitatu.Haha , Nyie mnaanza mazoezi lini.
Nani anasimamia timu ?!Tumeshaanza mkuu tunataka kuondoa ufalme wa mnyama Simba, maana katutesa sana hii miaka mitatu. Daima mbele nyuma mwiko
Mi naona inategemean na mechi mkuu,Mkude anasubiri kwa Fraga kwa sasa
Bila Fraga sijakubali..yule mwamba Ni shidaKama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'View attachment 1539355