Hiki ndio kikosi cha kwanza, SimbA SC 2020/2021.

Kama vipi tunamtaka Bayern Munich 'The Bavarians'View attachment 1539355
Mimi ni shabiki nguli wa Timu ya wananchi Young Africans Sc, kusema ukweli nakosa amani kabisa kila nikifikiria tutakutana na Simba sc mara mbili kwenye ligi kuu msimu ujao, na kila nikiangalia kikosi chao kinavyotisha naona tukipigwa 5 tena kama kipindi kile.
Daima mbele nyuma mwiko.
 
Haha , Nyie mnaanza mazoezi lini.
 
Hii timu ikikutana na timu inayopaki basi afu anapiga mipira mirefu nyuma ya mabeki hasa pembeni lazima akufunge tu

Reffer Leicester city ya 2016 ilikuwa inacheza style hii ninayoisema
Kama kweli hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…