monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Inatakiwa wacheze 3 2 3 2Kama kweli hivi.
Unajua Fraga, anaweza kuondoka. Maana aliomba kuondoka. Labda tusubiri taarifa rasmi.Bila Fraga sijakubali..yule mwamba Ni shida
Haaaaa Morrison .?!?! Huyo muondoeni hatacheza hapo SimbaInatakiwa wacheze 3 2 3 2
Yaani mabeki 3
Viungo wakabaji 2
Viungo washambulizi 3
Washambuliaji 2
La sivyo huyo anaecheza namba sita ambae ni mkude mtaishia kumlaumu bila sababu yaan atazidiwa mwanzo mwisho na lazma alale ma viatu
Refer game ya yanga na simba ya 1 bila
Karibu mjini mkuu!Haaaaa Morrison .?!?! Huyo muondoeni hatacheza hapo Simba
Nasikia Fraga anaondokaMkude anasubiri kwa Fraga kwa sasa
Wamemuomba nadhani amekubali.Unajua Fraga, anaweza kuondoka. Maana aliomba kuondoka. Labda tusubiri taarifa rasmi.
Kocha wa timu B kocha wetu mkuu atawasili ndani ya siku mbili (Ibenge)Nani anasimamia timu ?!
Ha ha ha, we jamaa mkorofiBack to Back miaka yote ubingwa ni msimbazi pekee.
1. Manula
2. Kapombe / Wawa
3. Shabalala
4. Ame from Coast Union
5 Joshi Onyango
6. Fraga dos Santos
7. Moquisone LuiZ danger
8. CCC
9. Chris Mugalu
10. Rally Bwalya locomotive
11. Morrisone
12. Mohammedi MO.
Hasta La Vista.
Ibenge ?! Mna pesa ya kumlipa ?!Kocha wa timu B kocha wetu mkuu atawasili ndani ya siku mbili (Ibenge)
Wape salaaaam
Daima mbele nyuma mwiko
Ndio mkuu brand chapa GSM iko pamoja nasi.Ibenge ?! Mna pesa ya kumlipa ?!
Nilikuja Dar es Salaam mwaka 1954...na nikiwa najitambua miaka 20Karibu mjini mkuu!
Hii ni leoNasikia Fraga anaondoka
Karibu simba, tunakuhitajiNilikuja Dar es Salaam mwaka 1954...na nikiwa najitambua miaka 20
Mamaaa, punguza sauti. 'Mkata upep0'Hii ni leoView attachment 1539388
Kawaumiza kweli. This is simbaHaaaaa Morrison .?!?! Huyo muondoeni hatacheza hapo Simba
Anacheza namba ngap uwanjani?Kocha wa timu B kocha wetu mkuu atawasili ndani ya siku mbili (Ibenge)
Wape salaaaam
Daima mbele nyuma mwiko
Kuchi kuchi hotta ha heeAnacheza namba ngap uwanjani?
Mmeshindwa kwa wachezaji sasa mmehamishia POROJO upande huoNdio mkuu brand chapa GSM iko pamoja nasi.
Wape salaaam
Daima mbele nyuma mwiko