Hiki ndio kikosi cha kwanza, SimbA SC 2020/2021.

Hiki ndio kikosi cha kwanza, SimbA SC 2020/2021.

Back to Back miaka yote ubingwa ni msimbazi pekee.

1. Manula
2. Kapombe / Wawa
3. Shabalala
4. Ame from Coast Union
5 Joshi Onyango
6. Fraga dos Santos
7. Moquisone LuiZ danger
8. CCC
9. Chris Mugalu
10. Rally Bwalya locomotive
11. Morrisone
12. Mohammedi MO.

Hasta La Vista.
 
Inatakiwa wacheze 3 2 3 2

Yaani mabeki 3
Viungo wakabaji 2
Viungo washambulizi 3
Washambuliaji 2

La sivyo huyo anaecheza namba sita ambae ni mkude mtaishia kumlaumu bila sababu yaan atazidiwa mwanzo mwisho na lazma alale ma viatu

Refer game ya yanga na simba ya 1 bila
Haaaaa Morrison .?!?! Huyo muondoeni hatacheza hapo Simba
 
Back to Back miaka yote ubingwa ni msimbazi pekee.

1. Manula
2. Kapombe / Wawa
3. Shabalala
4. Ame from Coast Union
5 Joshi Onyango
6. Fraga dos Santos
7. Moquisone LuiZ danger
8. CCC
9. Chris Mugalu
10. Rally Bwalya locomotive
11. Morrisone
12. Mohammedi MO.

Hasta La Vista.
Ha ha ha, we jamaa mkorofi
 
SIMBA SC YAFUNGA USAJILI WAKE KWA CHRISTOPHER MUGALU, TUKUTANE SIMBA DAY

_________________________
OUT/NJE. IN/NDANI.
__[emoji3596]_____&&&&&___[emoji3596]__
1:Haruna Shamte - David Kameta

2:Tairone Santos - Joshua Onyango (Gor Mahia)

3:Yusuph Mlipili - Ibrahim Ame (Coastal Union)

4: Sharaf Shiboub - Larry Bwalya (Power Daynamos)

5: Deogratius Kanda - Benard Morrison (Yanga SC)

6: Walker Da Silva - Christopher Mugalu (Lusaka Daymanos)

7: Rashid Juma - Charles Ilamfya(KMC).

Ripoti ya SVEN ilisema nyota saba(7) wakigeni na nyota wanne (4) wakigeni na nyota watatu(3) wakizawa.

Mazoezi ya Simba SC yataanza kesho Jumatatu 17, Aug 2020. (MO Simba Arena) chini ya kocha SVEN ambaye leo katua nchini kuelekea Kwenye 'Tamasha Ya SIMBA DAY' litakalofanyika Jumamosi 22,Agosti 2020. Uwanja Wa Mkapa.

Kulitaka mwana, Kulipewa mwana.
cc OKWI BOBAN SUNZU
 
Nasikia Fraga anaondoka
Hii ni leo
Screenshot_20200816-194649.jpg
 
Back
Top Bottom